News of Rwanda yaandika kuwa Rais Jakaya Kikwete anaweza kuwa na asili ya Gitega Burundi....

Status
Not open for further replies.
Kagame ni muuaji kweli. Usimtee kwa hili. Ukitaka uthibitisho pitia International Forum soma Thread pia pitia Comment za watu. Kagame ni MUUAJI.
 
Ila huu utamaduni wa vyombo vya habari kuweka uwanja wa mapambano kwenye cyber si mzuri, watu hawafikilii, ni kutukana tu, hakuna hoja hata moja!
 
Kagame ni muuaji kweli. Usimtee kwa hili. Ukitaka uthibitisho pitia International Forum soma Thread pia pitia Comment za watu. Kagame ni MUUAJI.
Mkuu husipotoshwe na lugha laini ya kufungua thread - huyu anawasema Watanzania indirectly, sisi tunao toka mipakani jina(alias name) lake linaeleza kila kitu.
 
Halafu huku kujipendekeza kunakofanyw na "dr Silaha" kwa Kagame, kutaibua mambo mengi sana kwa rais Kikwete pamoja na familia yake. Na mbinu hii wanayoitumia kwa kumzushia Kikwete itakuwa wamepewa na huyohuyo "dr Silaha".
 
Sasa ndugu yangu Kalisa wewe kama wewe katika mada yako hapa umesimamia wapi ama unataka tu kusympathize tu bila kusema ukweli.Ukweli wewe mwenyewe unaujua kwamba Kagame is a killer and a blood sucker na hayo wanayomwandika JK ni propaganda za kitutsi kama zilivozoeleka wala hazitunyimi kulala maana tunawajua sana watusi kwa propaganda.Kagame yeye amejaa na ametapakaaa damu mweili mzima.Haya soma mwenyewe hizi link
Paul Kagame Just Shoots Opponents! | Free Uganda
Another Kagame aide reveals boss
 
Mkuu Bornagain, jina lake tu linatosha kuonyesha anako simamia, hapa anazuga watu tu.
 
Kagame ni muuaji kweli. Usimtee kwa hili. Ukitaka uthibitisho pitia International Forum soma Thread pia pitia Comment za watu. Kagame ni MUUAJI.

usichojua ni sawa na usiku wa giza....mwenye kuhukumu ni mahakama...tu sijui wewe umejiandaa kama ukiulizwa uuaji wake na wapi umepata mamlaka hayo?
 
Wairaqw ni Cushitic na sio Semi Nilotic kama Masai na Jaluo ovyooo.. huyo Mwandishi...

Ila Jk Nilisikia siku nyingi ni mutu ya Huko...
 
Msemaji Mkuu wa Serikali ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO Assah Mwambene leo jijini Dar es Salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara hiyo amekanusha taarifa zilizoandikwa kwenye mitandao kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ni shemeji wa aliyekuwa Rais wa Rwanda, marehemu Juvenal Habyarimana.

"Taarifa hizi siyo za kweli na nafikiri taarifa zimeandaliwa kwa ajili ya kumpaka matope Mheshimiwa Rais. Kama kuna taarifa zozote basi tunaweza kutoa ufafanuzi lakini taarifa hizo siyo za kweli na bahati mbaya zimeendelea kujirudia na zinatoka kwenye mitandao mingi hasa kutoka Rwanda," amesema Mwambene na kufafanua kuwa lengo la mitandao ya kijamii ni kuhabarisha na kuelimisha umma wala siyo kupotosha jamii kwa kuandika habari zisizo na ukweli wowote.

Ili kukabiliana na taarifa potofu, Mwambene amesema, "...katika mabadiliko ambayo yanapendekezwa katika Serikali ya ku-deal na tatizo hili, tunakuja na pendekezo la kisheria litakalohakikisha kwamba tunamtambua kila mtumiaji wa mitandao hii kwa mfano blog. Nafikiri mmeanza kuona kuna training sasa zinafaanyika kuhakikisha kwa mfano --- wote wenye blogu unakuta wengi siyo waandishi wa habari, hajasomea uandishi wa habari lakini blogu yake inafanya kazi kama gazeti --- tulichokifanya sasa na nafikiri tutaendelea mpaka uje utaratibu wa kisheria, tunamtambua kila mtumiaji wa iwe ni blog, iwe ni Twitter, iwe ni internet cafe..." alisema Mwambene.

Source: wavuti.com - Blog
 
Shemeji yake labda ambao wanatoka njia moja ni Mkapa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Tamko hili limetolewa kwa wakati.Lakini pia statement official ingewekwa hadharani.Pia Alitakiwa ajue kwamba source ya story sio ndani ya territory

I hope hakujawekwa mipasho kama matamko ya Salva Rweyemamu.

Naona tunaelekea China way kwenye censorship!

Pia Assah Mwambene sijui kama itakua sahihi nikianza kuelekeza mashambulizi kwake,Cyber Law ni kwa kiasi gani inatoa automatic direction kwa matumizi ya mitandao kama ilivyo India,America,South Africa na kwingine ikiwa sheria ya magazeti ya mwaka 1976(Hii ni bad Law) bado inatumika kwa kiasi kikubwa kwenye muongozo wa mambo ya mitandao?

CC: Mbopo
 
Last edited by a moderator:
Huyo nae alikosa muda kweli kweli yaani unakuja kujibu propaganda za Rwanda huna cha kufanya,wewe usishangae kesho wanaweza wakaamuka na kusema kuwa kiongozi mkuu wa FDLR alifikia cheo cha Meja General kwenye jeshi la Tanzania, sasa utajibu mangapi na uache managapi. In short wanatapata baada ya kufurumushwa makwao kutokea Kagera kwa hiyo atafanya kila awezalo apake matope nchi yetu. But the good thing is the world now know who is Kagame kwa hiyo hawana habari nae wanamsubiri tu siku wamwanzishie kama Charles Taylor na blood diamond Sierra Leone
 

tunasubiri na saga la drugs
 
Twitter tena kuundia sheria.
mmh! hii kali ya mwaka
 

Nadhani umefika muda wa kupuuza hizi propaganda za Kagame kwenye mitandao sisi tujikite kwenye propaganda za kidiplomasia kimya kimya na matokeo yake aje kuwa kama Taylor.
 
Hii Ikulu inayotumia email za Yahoo ndo inataka kuzuia watu wasiandike wanachotaka mitandaoni?

Hivi hawa wanafikiri Blog ni kama gazeti, kwamba linasajiliwa serikalini?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…