Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
But Kagame is a devil, there is no argument there. Yule mtu is a killer and a terrible one. But his death is near for you'll never kill for the rest of your life before God teaches you a lesson. Like they say...."Karma is a bitch, it bites you when you least expect it."
Mkuu husipotoshwe na lugha laini ya kufungua thread - huyu anawasema Watanzania indirectly, sisi tunao toka mipakani jina(alias name) lake linaeleza kila kitu.Kagame ni muuaji kweli. Usimtee kwa hili. Ukitaka uthibitisho pitia International Forum soma Thread pia pitia Comment za watu. Kagame ni MUUAJI.
Sasa ndugu yangu Kalisa wewe kama wewe katika mada yako hapa umesimamia wapi ama unataka tu kusympathize tu bila kusema ukweli.Ukweli wewe mwenyewe unaujua kwamba Kagame is a killer and a blood sucker na hayo wanayomwandika JK ni propaganda za kitutsi kama zilivozoeleka wala hazitunyimi kulala maana tunawajua sana watusi kwa propaganda.Kagame yeye amejaa na ametapakaaa damu mweili mzima.Haya soma mwenyewe hizi linkNimesoma kwenye social media. waandishi wa Rwanda wanampaka matope JK, eti kwasababu ni mzaliwa wa Bagamoyo huenda ni Mrundi, kwasababu watumwa waliletwa na kutupwa Bagamoyo wakitokea Burundi na Congo. Sasa wanamzushia mke wake eti ni Binamu wa Habyarimana, yote ili kumwonyesha kwanini anawachukia watusi. Masikini. Alafu waandishi wa Tanzania wanamchukulia Kagame eti ana mikono iliyojaa damu, kwa mujibu wa katuni ya Mwananchi na Mtanzania inasema yake kuhusu Kagame, na hapa Jamii Forum Kagame anajadiliwa kama shetani labda. Hao ndo waandishi au watoa maoni wa siku hizi, hopeless!
Mkuu Bornagain, jina lake tu linatosha kuonyesha anako simamia, hapa anazuga watu tu.Sasa ndugu yangu Kalisa wewe kama wewe katika mada yako hapa umesimamia wapi ama unataka tu kusympathize tu bila kusema ukweli.Ukweli wewe mwenyewe unaujua kwamba Kagame is a killer and a blood sucker na hayo wanayomwandika JK ni propaganda za kitutsi kama zilivozoeleka wala hazitunyimi kulala maana tunawajua sana watusi kwa propaganda.Kagame yeye amejaa na ametapakaaa damu mweili mzima.Haya soma mwenyewe hizi linkPaul Kagame Just Shoots Opponents! | Free UgandaAnother Kagame aide reveals boss
Kagame ni muuaji kweli. Usimtee kwa hili. Ukitaka uthibitisho pitia International Forum soma Thread pia pitia Comment za watu. Kagame ni MUUAJI.
Msemaji Mkuu wa Serikali ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO Assah Mwambene leo jijini Dar es Salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara hiyo amekanusha taarifa zilizoandikwa kwenye mitandao kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ni shemeji wa aliyekuwa Rais wa Rwanda, marehemu Juvenal Habyarimana.
Taarifa hizi siyo za kweli na nafikiri taarifa zimeandaliwa kwa ajili ya kumpaka matope Mheshimiwa Rais. Kama kuna taarifa zozote basi tunaweza kutoa ufafanuzi lakini taarifa hizo siyo za kweli na bahati mbaya zimeendelea kujirudia na zinatoka kwenye mitandao mingi hasa kutoka Rwanda, amesema Mwambene na kufafanua kuwa lengo la mitandao ya kijamii ni kuhabarisha na kuelimisha umma wala siyo kupotosha jamii kwa kuandika habari zisizo na ukweli wowote.
Ili kukabiliana na taarifa potofu, Mwambene amesema, ...katika mabadiliko ambayo yanapendekezwa katika Serikali ya ku-deal na tatizo hili, tunakuja na pendekezo la kisheria litakalohakikisha kwamba tunamtambua kila mtumiaji wa mitandao hii kwa mfano blog. Nafikiri mmeanza kuona kuna training sasa zinafaanyika kuhakikisha kwa mfano --- wote wenye blogu unakuta wengi siyo waandishi wa habari, hajasomea uandishi wa habari lakini blogu yake inafanya kazi kama gazeti --- tulichokifanya sasa na nafikiri tutaendelea mpaka uje utaratibu wa kisheria, tunamtambua kila mtumiaji wa iwe ni blog, iwe ni Twitter, iwe ni internet cafe... alisema Mwambene.
Source: wavuti.com - Blog
Shemeji yake labda ambao wanatoka njia moja ni Mkapa
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Huyo nae alikosa muda kweli kweli yaani unakuja kujibu propaganda za Rwanda huna cha kufanya,wewe usishangae kesho wanaweza wakaamuka na kusema kuwa kiongozi mkuu wa FDLR alifikia cheo cha Meja General kwenye jeshi la Tanzania, sasa utajibu mangapi na uache managapi. In short wanatapata baada ya kufurumushwa makwao kutokea Kagera kwa hiyo atafanya kila awezalo apake matope nchi yetu. But the good thing is the world now know who is Kagame kwa hiyo hawana habari nae wanamsubiri tu siku wamwanzishie kama Charles Taylor na blood diamond Sierra Leone