News of Rwanda yaandika kuwa Rais Jakaya Kikwete anaweza kuwa na asili ya Gitega Burundi....

News of Rwanda yaandika kuwa Rais Jakaya Kikwete anaweza kuwa na asili ya Gitega Burundi....

Status
Not open for further replies.
DU KWELI NYOKA NI NYOKA
tulishasema EAC kuwaongeza Wanyarwanda hasa Watutsi iko siku tutajuta
Yaani hawatulii kabisa wataanzisha vurugu za kila aina,kwani hawana tofauti na ile hadithi ya Ngamia na Bwana wake wa kiarabu kugombea kihema.
Walihamia Ngara 1950 sasa wameona ardhi nzuri wanataka kupanua kwani DRC wameshaimega na kudai ya hawataki kutoka na wale adui zao wasirudi rwanda vivyo hivyo TZ wamegewe na wao pia.
tuanzisheni Mkakati wa kuwatambua kote na wasipewe Vitambulisho vya URAIA hata waliojificha Serikalini na Vyuoni
 
waandishi wa Rwanda ni makafiri wa akili, nchi hii inawatu waasili, siyo nchi ya kufikirika ! kwahiyo kama historia yao inaonyesha kuwa Tanzania haikuwa na wat waasili zaidi ya hao migrants so leo hawataki kuwe na taratibu za kuishi na kuingia humu ?

hao wanyaruanda wabaguzi sana, na siwashangai kama waliweza kuuana wenyewe kwa wenyewe kwa miaka mingi watashindwa nini kuichukia Tanzania >?>
 
Anavyoliendesha JANGA hili Rais wetu analifanya la kilabila; Kama ni ISSUE ya KAGAME ni ISSUE yake na KAGAME kama ni ISSUE ya WAKIMBIZI basi sio wa Rwanda pekee kuna Waburundi pia; na ni kwanini aambatanishe hizo issue?

Kama yeye ni MPENDA AMANI na MAZUNGUMZO kama alivyomshauri Rais Kagame aongee na wale wasaliti ni kwanini yeye basi asimuite KAGAME Tanzania na kuyaongelea? Sasa tunahatarisha hata Watanzania wenye asili ya kinyarwanda kuikimbia nchi kama wanavyosema huyo Mwanajeshi.

Nchi yetu ilikuwa ndio MODEL ya nchi za JIRANI why now???

Tunampenda Rais wetu lakini pia akubali makosa... Wakimbizi wa Kinyarwanda kweli wametukosesha raha kiasi hicho???
Hata Zaire ya Mobutu nayo ilikuwa ndio MODEL ya nchi za JIRANI maaana ilikuwa na watu wa Burundi, Rwanda, Uganda na hata Zambia.Lakini siku wanyamulenge walipoamka hakukuwa tena na hiyo model unayoisema.Hakuna vya sifa wala nini kwa sasa mambo yalishabadika abiria chunga mzigo, wacha Wanyarwanda warudi kwao then kama watataka kurudi waje kwa utaratibu unaoeleweka sio wa kuja na kuvamia mapori yetu na kutishia raia wetu.Naunga mkono hoja wacha waende wakalime viazi milimani kama rais wao alivosema
 
Aisee huyu mwandishi anasema Ukweli. Mimi ni Mhaya lakini ni kweli Wahaya wengi tumetoka Uganda. Huo ni ukweli usiopingika. Wale wa Muleba wametoka Burundi.
Mkuu umenichekesha, wahaya wapi wanatoka Uganda - Waziba? Wahendangabo? Wahyoza? Wabukara? Wahamba? Wanyaiyangiro? Abaganda Kyaka? Je Wanyambo wanatoka wapi - ANKOLE? Kuna ka ukweli ukichukulia ABATORO, ABANYORO, ABAKIGA, ABANYANKOLE lugha zao hazina tofauti yoyote na KIHAYA - Waganda walio chini ya Kabaka tunasikilizana kwa matamshi mengi ila wenyewe kwenye neno la KI wanaweka CHI actually Kihaya siku hizi kuimekuwa diluted na maneno ya kiswahili - lakini ukitaka Kihaya cha ndani basi makabila hayo manne ya Uganda ndio wanazungumza lugha hiyo kiasili kabisa, hata wakati wa kuandika biblia ya Kihaya walipashwa kuazima maneno mengine mengi yaliyo sahulika kutoka makabila hayo ya Uganda.
 
Hawatujui hawa eeh tutavuka boda tukawa ng'oe meno kwa plies..bila kusahau tindikali
 
Kwa taarifa yao, Tanzania ilikuwa na watu kabla ya hiyo biashara ya utumwa, watu wa tz ndio waliomigrate kwenda hizo nchi nyingine na sio kinyume, wataalamu wa historia wanakwambia binadamu wa kwanza aliishi tz oldvai gorge.
Hakuna nchi inayokumbatia wahamiaji haramu, wameambiwa wafuate taratibu wahalalishwe au waondoke..rafiki yangu mnyarwanda yupo kule wala hata wasiwasi hana, ana makaratasi take halali kabisa kwa briefcase

wewe siyo muelewa so we ni -m.p.u------vu- coz jamaa hajasema Tz haikuwa na watu ispokuwa alisema bagamoyo....
 
Sasa hivi utasikia kikwete ni Hutu toka Burundi kisha watakwambia hata babu yake na babu yake kikwete alishtakiwa kwa mauaji ya Watusi.
 
mkuu usihofu, wameshanyea kiganja kilichokuwa kinawalisha lazima watarudi tu kwao.

article ya mwandishi huyu ni muendelezo wa matusi ya serikali ya rwanda kwa tanzania, lengo ni kuunganisha lile tusi lao lao kwamba JK ni genocide symphathizer kwa kum-link JK na historical roots za kuchonga kutoka Burundi (yaani Mhutu) na hivyo in one way or the other anawasaidia Wahutu dhidi ya Watutsi. Unaweza kuona ni jinsi gani alivyo-spin historia ya watu wa pwani (makabila ya wazaramo, wakwere, ndengereko, etc) yote including Bagamoyo and the like ili kukamilisha lengo lake (kumu-incriminate JK with Hutu roots)! Kama gazeti la serikali linaweza kutengeneza propaganda mbaya kiasi hiki unadhani ni watu wa kuwachukulia poa hawa?? Hawana huruma na wakaa na roho za kishetani sana! Warudi kwao na mapandikizi yao yote!

cc: Ukwaju, Niwemugizi, rushasha, Bukyanagandi, mokala1989
Wabantu wote, kwa watusi, ni WAHUTU na wala hakuna haja ya kujipendekeza kwa hawa watu! Umefika wakati sasa waelimishwe kwamba wao si bora kuliko binaadamu wengine!

Hakuna watu waliojiona bora duniani kama wajerumani, lakini, baada ya dunia kuwapa elimu ya kutosha kupitia vita ya pili, wamekuwa binadaam! Sasa tunashangazwa na hawa waafrika wenzetu wanaoendeleza ndoto za kiujima dunia ya leo (mara sijui wanajaribu kujihusisha na kizazi cha mfalme Solomon wa Israel ili kupata BASE UYAHUDI!)!

JAMANI, WATUSI WANAHITAJI ELIMU YA UTANDAWAZI!

 
aisee hii inaweza kuwa kweli kabisa. Ukimuangalia kwa makini JK anafanana sana na yule bushman wa kwenye movie za Gods Must be Crazy

Na wachina asili yao ni misitu ya kongo maana wote wafupi! Hivi wewe, na kaubongo kako kadogo kama karanga moja, unamfikia hata 'chimpanzee'?
KIPIMO CHA BINAADAM, DUNIA YA LEO NI UTU NA AKILI YAKE NA WALA HAIWEZI KUWA UKUBWA WA PUA 'AMBAO SI WINGI WA MAKAMASI'!
 
Sasa hivi utasikia kikwete ni Hutu toka Burundi kisha watakwambia hata babu yake na babu yake kikwete alishtakiwa kwa mauaji ya Watusi.
babu mbona hiyo ilishasemwa zamani tuu,tunasubiri wewe ndio uje utueleze ukweli kama zile story zako za hima empire
 


Sunday, August 18, 2013 | 7:51 PM

Mtandao wa News of Rwanda juzi umeandika makala yenye kichwa cha habari, ‘If President Kikwete is Tanzanian, then most Rwandans being expelled are Tanzanians too’ na kuandika kile linachodai kuwa Rais Kikwete anaweza kuwa na asili ya Burundi.

Jakaya-KikweteBC.jpg

Kwa mujibu wa wazee wa Burundi waliohojiwa na mtandao huo, umedai Rais Kikwete anaweza kuwa na asili ya Giteka, Burundi.

“They are of Rwandan origin, but speak Kirundi and solely prefer to be viewed as Burundians. By virtual of that country’s laws, they are indeed Burundians,” limeandika.

So where did President Jakaya Mrisho Kikwete come from? There are no original residents of Bagamoyo in Tanzania where Kikwete’s parents are traced. Most people from that area are remnants of slaves who were seem as unfit for the market during the slave trade era.

Bagamoyo formally (Bwagamoyo) was one of the biggest slave trade centres in East Africa and people were being traded from various areas of East Africa. For those of Bagamoyo, however, almost all came from Burundi and Zaire.


Historical discourse shows that most Tanzanians are from other neighbouring countries. The Ngoni people came from Zulu land in South Africa; Yao used to belong to Mwanamtapa Kingdom; Arabs of Unguja and Pemba Irelands in Zanzibar came from Oman during the rule of Sultan Sayid Said.

Chaga, Maasai and Meru people of Northern Tanzania are traced in Kenya; Hangaza people from Burundi; Haya people from Uganda; Waha (Ha people) arrived in from Zaire and Burundi; the Makonde people (tribe of former Tanzania President Benjamin William Mkapa) came from Mozambique; Nyasa People relocated from Malawi; almost all Mara region dwellers came from Kenya and the list can cover about 80percent of all Tanzanians.

The Singida and some Arusha people like Warangi, Wasandawe, Wabaebaig, Wairaq and Hadzabe are not Bantus, but Semi Nilotic who found themselves in that country after immigration for survival.

Tanzania’s current Constitution states that all people who were present in 1961 from 00.00 mid night during Tanganyika Independence are legally Tanzanians despite their vast origins. It is beyond comprehension therefore why Rwandans who were in Tanganyika from 1959 and before are being evicted as illegal immigrants.

Elderly women are being rounded up at gun point with nothing on them, and forced out to the Rwanda-Tanzania border. The children they had with Tanzania men are remaining, because according to President Kikwete, the children are Tanzanian and not their mother. The same thing is happening to men married to Tanzanian women.





Read more: NEWS OF RWANDA WAANDIKA KUWA RAIS JAKAYA KIKWETE ANAWEZA KUWA NA ASILI YA GITEGA BURUNDI.... - GUMZO LA JIJI

Hakika tanzania km new york watu mate yanawatoka,teh teh teh.
 
Hata Zaire ya Mobutu nayo ilikuwa ndio MODEL ya nchi za JIRANI maaana ilikuwa na watu wa Burundi, Rwanda, Uganda na hata Zambia.Lakini siku wanyamulenge walipoamka hakukuwa tena na hiyo model unayoisema.Hakuna vya sifa wala nini kwa sasa mambo yalishabadika abiria chunga mzigo, wacha Wanyarwanda warudi kwao then kama watataka kurudi waje kwa utaratibu unaoeleweka sio wa kuja na kuvamia mapori yetu na kutishia raia wetu.Naunga mkono hoja wacha waende wakalime viazi milimani kama rais wao alivosema


Wala haya mambo ya ukatili wa wa TZ na Rais wao kuhusu Rwanda hayatushitushi hata kidogo, tumeajua kwa mda mrefu tu. Soma hapa uone information tulizo nazo tangu miaka mingi tu: Cable: 05DARESSALAAM888_a Kwani wa Tz mnajua kwamba Salma Kikwete ni binaamu wa Rais wa zamani wa Rwanda? Soma sana sana the last part of that US intelligence cable...
 
Wala haya mambo ya ukatili wa wa TZ na Rais wao kuhusu Rwanda hayatushitushi hata kidogo, tumeajua kwa mda mrefu tu. Soma hapa uone information tulizo nazo tangu miaka mingi tu: Cable: 05DARESSALAAM888_a Kwani wa Tz mnajua kwamba Salma Kikwete ni binaamu wa Rais wa zamani wa Rwanda? Soma sana sana the last part of that US intelligence cable...

UTTER NONSENSE! And if it's an ideological problem we better leave it with those who have it... and, maybe, deal with it later!
 
Nimesoma kwenye social media. waandishi wa Rwanda wanampaka matope JK, eti kwasababu ni mzaliwa wa Bagamoyo huenda ni Mrundi, kwasababu watumwa waliletwa na kutupwa Bagamoyo wakitokea Burundi na Congo. Sasa wanamzushia mke wake eti ni Binamu wa Habyarimana, yote ili kumwonyesha kwanini anawachukia watusi. Masikini. Alafu waandishi wa Tanzania wanamchukulia Kagame eti ana mikono iliyojaa damu, kwa mujibu wa katuni ya Mwananchi na Mtanzania inasema yake kuhusu Kagame, na hapa Jamii Forum Kagame anajadiliwa kama shetani labda. Hao ndo waandishi au watoa maoni wa siku hizi, hopeless!
 
wanashika kila tawi linakatika, watakurupuka sana mwaka huu, aibu itabakia kwao kua ni wauaji na mabazazi yanayoishi kwa rasilimali za drc
 
But Kagame is a devil, there is no argument there. Yule mtu is a killer and a terrible one. But his death is near for you'll never kill for the rest of your life before God teaches you a lesson. Like they say...."Karma is a bitch, it bites you when you least expect it."
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom