Tetesi: News wabunge watimuliwa

Hakuna kitu kinaniumiza kama hiyo moja ya notification hata kama siyo yangu nahangaika kujaribu kuifungua
 
Naona CUF ORIGINAL WALIOPIGANA KWENYE UCHAGUZI WAKAWAPATA WABUNGE SASA WAMEAMUA KUJIBU MAPIGO KAMILI KUFUKUZA WABUNGE SIO WABUNGE VITI MAALUMU.
nimewapenda sasa tuone speaker atakuwa double standard au?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna jipya hapo mkuu! Kesi ya nyani umpelekee ngedere.
 
Hapo ndipo tutajua undumilakuwili wa ndugai na mkurugenzi wa tume ya uchaguzi
Yaani huo mtego mbaya Sana kwao kwasababu akikubali maana yake kuna CUF MBILI
akikataa maana yake wanamlinda lipumba kwasababu hayupo kihalali alishavuliwa uanachama na katibu halali wa cuf ni maalimu saif shalif Hamad.
Na wao ndio Wanawajumbe halali.
Yaani hapo wanyakyusa wanasema imbombo nkafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanachochea vurugu ndani ya nchi
 
Wanajisumbua sakaya walishamfukuza tangiapo na akafungua kesi hilo baraza lao la bavicha sio sawa na la le proffeseri wamefeli tangu yule mzee alete barua ya kujiuzulu 2015 eti wao wanajadiliana 2016 na jamaa akaitengua b4 hawajaijadili huo sio uchawi Bali ni jinsi ya kuhesabu tu na le proffeser kapiga hesabu sawasawa sasa wanalialia so sasa hivi cuf inatolewa taarifa na bavicha hahahaaaa

Matatizo ya CUF waachiwe wanaCUF wenyewe pesa alizokula SEIF kwa mamvi zitatokea popote pale

Pambana na hali yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha... Unatoa hutoi, unatoa utoi...

Siasa za Tanzania bhana unaweza ukajikuta unakuwa chizi....
 
Hamna jipya hapo mkuu! Kesi ya nyani umpelekee ngedere.
Wametegwa na CUF ORIGINAL
nadhani MWENYEKITI WA CCM AWAITE CUF ORIGINAL aongee nao Auamshauri tu lipumba aachie ngazi ampe wizara Fulani awe waziri yaishe.
Kwasababu yanayoendelea yanainajisi Sana nchi yetu na misingi imara iliyowekwa ya demokrasia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwani hayo majina ymetoka kwa m/kit kama sivyo ni sawa na kujitekenya halaf unacheka
 
Ba Vicha BANA...

JPM tunazidi kukuombea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…