lutemi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 1,748
- 1,388
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Action speaks Louder than words!
!
Hebu nijikite na Kuhamia Dodoma maana sielewi kabisa haya mambo
Naona CUF ORIGINAL WALIOPIGANA KWENYE UCHAGUZI WAKAWAPATA WABUNGE SASA WAMEAMUA KUJIBU MAPIGO KAMILI KUFUKUZA WABUNGE SIO WABUNGE VITI MAALUMU.!
!
Hebu nijikite na Kuhamia Dodoma maana sielewi kabisa haya mambo
Hapo ndipo tutajua undumilakuwili wa ndugai na mkurugenzi wa tume ya uchaguzi
Hamna jipya hapo mkuu! Kesi ya nyani umpelekee ngedere.Naona CUF ORIGINAL WALIOPIGANA KWENYE UCHAGUZI WAKAWAPATA WABUNGE SASA WAMEAMUA KUJIBU MAPIGO KAMILI KUFUKUZA WABUNGE SIO WABUNGE VITI MAALUMU.
nimewapenda sasa tuone speaker atakuwa double standard au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani huo mtego mbaya Sana kwao kwasababu akikubali maana yake kuna CUF MBILIHapo ndipo tutajua undumilakuwili wa ndugai na mkurugenzi wa tume ya uchaguzi
Wanachochea vurugu ndani ya nchiYaani huo mtego mbaya Sana kwao kwasababu akikubali maana yake kuna CUF MBILI
akikataa maana yake wanamlinda lipumba kwasababu hayupo kihalali alishavuliwa uanachama na katibu halali wa cuf ni maalimu saif shalif Hamad.
Na wao ndio Wanawajumbe halali.
Yaani hapo wanyakyusa wanasema imbombo nkafu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wametegwa na CUF ORIGINALHamna jipya hapo mkuu! Kesi ya nyani umpelekee ngedere.
Analo mwaka huu..... Rais mstaafu mzee Kikwete alijisemea akili ya kuambiwa changanya na yakoHahahhaha ngoja tumuone ndugai na ufupi wake hiki kiunzi atakikwepa vipi.....
Sent using Jamii Forums mobile app