Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Kwema Wakuu!
Nikiangalia Siasa za awamu hii ni kama zimepoa hivi, hakuna zile mbindembinde, roho mkononi, patashika nguo kuchanana, nikanyage bahati mbaya nikukwarue makusudi.
Magufuli Siasa zake zilikuwa kali, na ndio maana alipata response na reactions kali kutoka pande zote. Mama Samia Siasa zake zimepoa, na ndio maana anapata mashambulizi mepesi, yaliyopoa.
Na hii ndio inanikumbusha Third Law ya mtaalam Isaac Newton isemayo; for every action (force) in nature there is an equal and opposite reaction.
Ukitumia nguvu kubwa tegemea kujibiwa kwa nguvu kubwa, ukitumia nguvu ndogo basi tegemea kujibiwa kwa nguvu ndogo, na hivyo ndivyo Siasa zilivyo.
Kuna kanuni moja ambayo wanaotumia nguvu kubwa hawapaswi kuiacha, iisemayo; Attack is the secret of defense; defense is the planning of an attack.
Niwatakie usiku mwema.