Newton's third law: For every action (force) in nature there is an equal and opposite reaction. Kanuni hii ipo pia kwenye Siasa

Newton's third law: For every action (force) in nature there is an equal and opposite reaction. Kanuni hii ipo pia kwenye Siasa

Wewe ulikariri physics, wenzio walielewa physics. That makes different.
Kama uliewa umevumbua kitu gani? Huko kuelewa kwako wapi na wapi na siasa?

Kama ulielewa taja sekondari ya juu uliyosoma na chuo kikuu ulichoenda kusafisha akili na baada ya kumaliza kitu gani umefanya mpaka sasa cha maana kama sio umbea kama huu halafu unaita siasa?
 
Kwema Wakuu!

Nikiangalia Siasa za awamu hii ni kama zimepoa hivi, hakuna zile mbindembinde, roho mkononi, patashika nguo kuchanana, nikanyage bahati mbaya nikukwarue makusudi.

Magufuli Siasa zake zilikuwa kali, na ndio maana alipata response na reactions kali kutoka pande zote. Mama Samia Siasa zake zimepoa, na ndio maana anapata mashambulizi mepesi, yaliyopoa.

Na hii ndio inanikumbusha Third Law ya mtaalam Isaac Newton isemayo; for every action (force) in nature there is an equal and opposite reaction.
Ukitumia nguvu kubwa tegemea kujibiwa kwa nguvu kubwa, ukitumia nguvu ndogo basi tegemea kujibiwa kwa nguvu ndogo, na hivyo ndivyo Siasa zilivyo.

Kuna kanuni moja ambayo wanaotumia nguvu kubwa hawapaswi kuiacha, iisemayo; Attack is the secret of defense; defense is the planning of an attack.

Niwatakie usiku mwema.
Siasa za kuchangamsha, hubainisha kiwepesi wenye upeo na wale wajinga!

Siasa za kupoa zinafikirisha na kuhangaisha vichwa kwa wapiga kura kujua ni yupi mwenye uwezo kwao kuwawakilisha na kupangua hoja dhaifu,

Siasa zilizochangamsha huibua watu wenye hoja bhana!
 
Back
Top Bottom