mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Pia kuna tetesi wanamfikiria John David Washington, kwasababu baba yake anayo role kwenye black panther 3Kuna channel ya reddit wanadai hata Russell Hornsby naye aliwakataa walitaka kumpa nafasi ya Variant akaona miyeyusho mapema. Eric Kofi Abrefa wanampigia chapuo naona confidence yake bado sana
Huyu
Mkuu hizi mambo ya Diversity and Equality unadhani Mzungu anashindwa!? Ukiachana na Djimon Gaston Hounsou sidhani kuna Waafrika wengi ambao wamepata shavu zaidi ya Black Americans! Kwani ishu ya Jonathan Majors na skendo walizompa! Ila wakitazama hakuna mtu ambaye kacheza character ya Kang the Conqueror vyema kuliko Jonathan Majors na wanajua hilo 😃Pia kuna tetesi wanamfikiria John David Washington, kwasababu baba yake anayo role kwenye black panther 3
Na eti Aaron Pierre na Kelvin Harrison Jr wanafikiriwa pia kwasababu tayari wako kwenye pipeline ya disney, wameigiza kama Mufasa na Scar, na kama Malcolm X/Martin Luther King jr kwenye MLK/X(ambapo waliua kinoma😂)
Sema unawaza Aaron Pierre kivipi wakati tayari kashakuwa cast as Green Lantern?
Ila marvel wanabadilisha sana vitu, huwezi jua.
Recasting is hard.Mkuu hizi mambo ya Diversity and Equality unadhani Mzungu anashindwa!? Ukiachana na Djimon Gaston Hounsou sidhani kuna Waafrika wengi ambao wamepata shavu zaidi ya Black Americans! Kwani ishu ya Jonathan Majors na skendo walizompa! Ila wakitazama hakuna mtu ambaye kacheza character ya Kang the Conqueror vyema kuliko Jonathan Majors na wanajua hilo 😃
Haijaungua kweli?Keshazipata huyo!..
Kama ana mansion L.A california asubilie mgao wa 770$.... Ahahahah.
Duh, hatari sana... nikawa nahsi currently atakuwa star wa nguvu...Roxie alishindwa kubalance stardom binti wa watu, ukiachana na Let it Shine hakuna kingine cha msingi zaidi ya kuwepo kwenye Bel-Air. Let it shine ilipaa kutokana na Cyrus sio Rosie, ndo maana walimuondoa kwenye Hollywood Records chap walivyoona hana faida tena.
Henry Cavill alicheza character ya Superman mpaka akamaliza kila kitu it's hard to replace him ni sawa na character ya Hulk aliyocheza Edward Norton aisee yule Hulk ndo angekuwa kwenye Avengers 😃 Thanos angeona moto! Teaser ya Superman imepata negative reaction kubwa sanaRecasting is hard.
Si unaona situation ya Henry Cavill vs David Corenswet huko DC baada ya teaser ya Superman kutoka?
Ni ujinga tuHenry Cavill alicheza character ya Superman mpaka akamaliza kila kitu it's hard to replace him ni sawa na character ya Hulk aliyocheza Edward Norton aisee yule Hulk ndo angekuwa kwenye Avengers 😃 Thanos angeona moto! Teaser ya Superman imepata negative reaction kubwa sana
Na ukumbuke kuwa character ya Witcher aliyocheza Henry ilizidi kumfanya awe bora zaidi hapo watu hawataki Ka'el mwingine.Ni ujinga tu
Gunn anamleta yule comic accurate superman, ni vizuri sana.
Tusubiri tuone
Big NO 😃 ni heri tumpe MachetteRyan Gosling atafaa pia kucheza kama black panther
View attachment 3206160
Kali? Ninayo kwa external ila sijaiangaliaAaron Pierre anafaa kapiga kazi safi inaitwa REBEL RIDGE