Next Black Panther (Parody)

Next Black Panther (Parody)

Kuna channel ya reddit wanadai hata Russell Hornsby naye aliwakataa walitaka kumpa nafasi ya Variant akaona miyeyusho mapema. Eric Kofi Abrefa wanampigia chapuo naona confidence yake bado sana
Pia kuna tetesi wanamfikiria John David Washington, kwasababu baba yake anayo role kwenye black panther 3

Na eti Aaron Pierre na Kelvin Harrison Jr wanafikiriwa pia kwasababu tayari wako kwenye pipeline ya disney, wameigiza kama Mufasa na Scar, na kama Malcolm X/Martin Luther King jr kwenye MLK/X(ambapo waliua kinoma😂)

Sema unawaza Aaron Pierre kivipi wakati tayari kashakuwa cast as Green Lantern?

Ila marvel wanabadilisha sana vitu, huwezi jua.
 
11.
1737187675427.jpg
Huyu
 
Mkuu hizi mambo ya Diversity and Equality unadhani Mzungu anashindwa!? Ukiachana na Djimon Gaston Hounsou sidhani kuna Waafrika wengi ambao wamepata shavu zaidi ya Black Americans! Kwani ishu ya Jonathan Majors na skendo walizompa! Ila wakitazama hakuna mtu ambaye kacheza character ya Kang the Conqueror vyema kuliko Jonathan Majors na wanajua hilo 😃
 
Recasting is hard.

Si unaona situation ya Henry Cavill vs David Corenswet huko DC baada ya teaser ya Superman kutoka?
 
Roxie alishindwa kubalance stardom binti wa watu, ukiachana na Let it Shine hakuna kingine cha msingi zaidi ya kuwepo kwenye Bel-Air. Let it shine ilipaa kutokana na Cyrus sio Rosie, ndo maana walimuondoa kwenye Hollywood Records chap walivyoona hana faida tena.
Duh, hatari sana... nikawa nahsi currently atakuwa star wa nguvu...
 
Recasting is hard.

Si unaona situation ya Henry Cavill vs David Corenswet huko DC baada ya teaser ya Superman kutoka?
Henry Cavill alicheza character ya Superman mpaka akamaliza kila kitu it's hard to replace him ni sawa na character ya Hulk aliyocheza Edward Norton aisee yule Hulk ndo angekuwa kwenye Avengers 😃 Thanos angeona moto! Teaser ya Superman imepata negative reaction kubwa sana
 
Ni ujinga tu

Gunn anamleta yule comic accurate superman, ni vizuri sana.

Tusubiri tuone
 
Na ukumbuke kuwa character ya Witcher aliyocheza Henry ilizidi kumfanya awe bora zaidi hapo watu hawataki Ka'el mwingine.
Marvel watapata taabu sana wakisema watafute character mwingine katika nafasi ya Doctor Strange, muonekano wa Ben Cumberbatch utatosha kabsa!
 
Back
Top Bottom