mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Pia kuna tetesi wanamfikiria John David Washington, kwasababu baba yake anayo role kwenye black panther 3Kuna channel ya reddit wanadai hata Russell Hornsby naye aliwakataa walitaka kumpa nafasi ya Variant akaona miyeyusho mapema. Eric Kofi Abrefa wanampigia chapuo naona confidence yake bado sana
Na eti Aaron Pierre na Kelvin Harrison Jr wanafikiriwa pia kwasababu tayari wako kwenye pipeline ya disney, wameigiza kama Mufasa na Scar, na kama Malcolm X/Martin Luther King jr kwenye MLK/X(ambapo waliua kinoma😂)
Sema unawaza Aaron Pierre kivipi wakati tayari kashakuwa cast as Green Lantern?
Ila marvel wanabadilisha sana vitu, huwezi jua.