Ney wa Mitego amuuliza Idris Sultan mil. 500 zimeishaje?

Wema anajua kunusa kweli aiseee...amehakikisha kazikomba zote saiv hayupo tena tunasikia yuko china mara kaolewa sjui
 
Hii nyumba alipewa aishi mwaka 1 buree hakununua wala kukopeshwa , na ameshahama hapo muda
Yawezekana ni kweli lakini kila nikiomba link ya kuaminika kama chanzo bado napata heresy
 
nyumba hiyo ifanye ina thamani ya milioni 500(pesa itaishia hapo) je wanawake walikuwa wanakuja kufuata nini kwake?
 
sijui alinunua ama kukopeshwa,lakini mnaweza kukadiria ni kiasi gani..Location:Mbezi Beach
Kwa Mil 500 Tsh,kafanya jambo la maana sana.....Hazitoshi kununua Actros 2
 
nyuma hiyo ifanye ina thamani ya milioni 500(pesa itaishia hapo) je wanawake walikuwa wanakuja kufuata nini kwake?
Mkuu hii nyumba hakununu alipewa akae mwaka 1 free na ameshahama apo
 
Mambo ya Darisalama bwana. Pole Kijana, sasa ukipata tena utakuwa umeshapata akili. Mjini Shule
 
Mambo ya Darisalama bwana. Pole Kijana, sasa ukipata tena utakuwa umeshapata akili. Mjini Shule
Kupata tena mil.500 kwa namna ya big brother haiwez tokea tena
Sema uzuri kashapata jina mjini hawezi lala njaaa si unaona amekuwa mtangazaji wa choice fm na mwenzake gigy money
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…