BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Wema anajua kunusa kweli aiseee...amehakikisha kazikomba zote saiv hayupo tena tunasikia yuko china mara kaolewa sjui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yawezekana ni kweli lakini kila nikiomba link ya kuaminika kama chanzo bado napata heresyHii nyumba alipewa aishi mwaka 1 buree hakununua wala kukopeshwa , na ameshahama hapo muda
Kutoa ni moyo[emoji12] !hii ndio Da'Slama!mil 500 zimeisha hana hata nyumba kweli wanawake wa dar nouma sana tena wauaji vibaya mno
Kwa Mil 500 Tsh,kafanya jambo la maana sana.....Hazitoshi kununua Actros 2sijui alinunua ama kukopeshwa,lakini mnaweza kukadiria ni kiasi gani..Location:Mbezi Beach
![]()
Kupata tena mil.500 kwa namna ya big brother haiwez tokea tenaMambo ya Darisalama bwana. Pole Kijana, sasa ukipata tena utakuwa umeshapata akili. Mjini Shule
Yupi huyo?Hapo sio kwa basha wake?
Yupi huyo?
miss u toohahahhahaha
Crazy girl,
Nakumisi Mkuu
ukitaka kula kubali uliwe kidogo( in mkwere voice)unahisi kaliwa au kala?
ha hahaukitaka kula kubali uliwe kidogo( in mkwere voice)