Ney wa Mitego ana utajiri wa zaidi ya Bil.1?

heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Ile nyingine ipi?Prado?

Murano alinunua 36M na ameshaibadilisha!
 
Ile nyingine ipi?Prado?

Murano alinunua 36M na ameshaibadilisha!

36 inasoma 0 KM. Hao mapimbi wanaojiita wasanii achana nao kwa uongo. Akikutajia bei ya kitu jua kaweka cha juu ili aonekane ana hela kumbe mavi matupu. Hana prado huyo Pimbi sisi ndio tunaowajua hiyo murano haina hiyo gharama aliyoisema na kamwe hatokuja kukuonesha risiti au document aliyonunulia ku prove hiyo bei.

Murano tushaingiza sana mjini hapa kwa ajili ya vimada vyetu so bei tunazijua ndani nje. Waache utoto wa stick na hali halisi za maisha yao.

HUYO JAMAA MWENYE HATA VIKAO VYETU VYA BILLIONAIRES NA MILLIONAIRE CLUB HATII MGUU. SANA SANA ANAISHIA SINZA KWENYE CLUB ZA SHILLINGIONAIREES WENZAKE
 
Mkuu mbona unatokwa na povu bipa kuwa na ushahidi?

Hilo hapo hilo prado unalosema hana!

Punguza wivu kaka nyumba ya vyumba vitatu ya 200M hujawahi kuona?

 
 
Mkuu mbona unatokwa na povu bipa kuwa na ushahidi?

Hilo hapo hilo prado unalosema hana!

Punguza wivu kaka nyumba ya vyumba vitatu ya 200M hujawahi kuona?

View attachment 326630


Nipunguze povu vipi sasa. wewe ndio upunguze povu kwa sababu humjui. Mara ya mwisho kumuona na hilo gari ilikuwa ni lini? Na mara ya mwisho jibu hapa kumuona analiendesha hilo gari na kwenda nalo sehemu za starehe ni lini. Fake life zao zisikuaminishe kuwa wako vizuri.


AU UMESAHAU ILE YA DIAMOND KUTAMBA NA V8 MTAANI KUMBE ALIKUWA ANADAIWA KAJIFANYA ANANUNUA HELA HANA NA INSTA ALILIPOST SANA MAPIMBI KAMA WEWE MKAJUA LAKE.

Sio kila gari unaloliona lina namba 966 ni la Nay kaka. Hahahhahahah leo nimeamini hii nchi imejaa mapunga. HAO JAMAA ZAKO SHOW OFF ZIMEZIDI LETA USHAHIDI HAPA WA KWELI KAMA ANAMILIKI HILO GARI NA MIMI NIKUTAJIE MMILIKI HALISI? Kufanana kwa namba kusikupumbaze
 
Mkuu mpaka hapa unaonyesha jins gan ulivyo na wivu wa kike bila shaka wew in Ommy Dimpoz

Wacha kumponda mtu bila kuwa na fact!
Mwanzo ulisema hana Prado umewekewa picha unataka nikuambie mara ya mwisho nimemuona nalo ilikua ni lin hata nikikwambia utaniambia alishakuonyesha kadi ya hilo gari?

Embu tupia hizo mali zako unazojidai nazo tuone?
 
Mkuu mbona unatokwa na povu bipa kuwa na ushahidi?

Hilo hapo hilo prado unalosema hana!

Punguza wivu kaka nyumba ya vyumba vitatu ya 200M hujawahi kuona?

View attachment 326630

Tuje kwenye issue ya kujenga nyumba ya vyumba vitatu Milioni 200. Mpaka hapo nishajua kuwa unakaa kwa dada yako. Maximum nyumba ya vyumba vitatu, sitting room , dining, study room, na tv room ni Tofali 5000 kuanzia msingi mpaka kuimaliza kabisa. Tofali moja ni 1000 hiyo bei ya kigamboni huko kwingine ni 850. Jumla ni milioni 5. Cement haiwezi kuzidi tani 2 kila tani mifuko mia ya cement na kila mfuko kwa bei ya kiwandani ni 12500. Jumla milioni 25. Weka milioni 10 za kokoto na mchanga weka milioni 7 za bati weka na 20 milioni za finishing na 10 milioni za fundi. Hiyo ni gharama ya Nyumba ndogo ya kisasa yaani ya Kifahari.

LETA HUO MCHANGANUO WAKO WA THREE BEDROOM MILIONI 200
 
Embu mtaje huyo mmiliki mkuu alafu uje na evidence usiropok kama mtu aliyengatwa na nyuki
 

Hilo PRADO SIO LAKE PERIOD. NDIO MAANA NIMEKWAMBIA UMESHAWAHI KUMUONA NALO WAPI KWINGINE ZAIDI YA KWENYE HIYO PICHA.
 
Alafu hiyo nyumba anajenga Angani?
 
Kisambo hao wasanii wewe unawajua kwa kuwasoma kwenye magazeti sisi tuko nae huku kitaa tunajua hali halisi ya maisha yao. PIGA KAZI SHIKA HELA UTAKUTANA NAO NA NDIYO UTAJUA UKWELI NA UWONGO WA MAISHA YAO. SIO YEYE TUU HUYO KARIBU WOTE HADI HUYO UNAYEMWITA DIMPLES. KWA WASANII MAYANKI WANAOISHI MAISHA YAO HALISI NI AY PEKE YAKE NA D KNOB
 
Alafu hiyo nyumba anajenga Angani?
Okey kwa hiyo hiyo nyumba anajenga kwenye kiwanja alichonunua milioni mia ? Basi sawa. Bado kinda sana wewe hata lyf hujui acha ni reply kwa hawa niliowazoea nyie wanafunzi wa st. Joseph ngoja niachane nao
 

Mkuu inawezafika huko maana sio wote wanaweza kusimamia ujenzi, so akimpa mkanfarasi hapo inaweza fika kabisa.
 
Alafu hiyo nyumba anajenga Angani?
Hiyo hesabu yote niliyopiga inakuja jumla millioni 77 ukiweka na milioni 8 za kiwanja inakuja milioni 85. Hapo kwa nyumba yenye vyumba vitatu vya kulala, sitting room, dinining room, study room na tv room. Hii itakusaidia baadae ukishafika umri wa kuacha kutokwa na KAMASI
 
Okey kwa hiyo hiyo nyumba anajenga kwenye kiwanja alichonunua milioni mia ? Basi sawa. Bado kinda sana wewe hata lyf hujui acha ni reply kwa hawa niliowazoea nyie wanafunzi wa st. Joseph ngoja niachane nao
Mkuu una akili finyu kama uyoga aisee,umeanza kuingilia maisha yangu tena kutoka kwa Nay?

Punguza povu kaka,next time ukiwa unapinga kitu uwe na evidence siyo kuropoka tu kaka!
 
Mpaka hapa tulipofikia siwez bishana na wew maana unaendeshwa na mihemko,tafuta wale wa 0713 ubishane nao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…