Tuje kwenye issue ya kujenga nyumba ya vyumba vitatu Milioni 200. Mpaka hapo nishajua kuwa unakaa kwa dada yako. Maximum nyumba ya vyumba vitatu, sitting room , dining, study room, na tv room ni Tofali 5000 kuanzia msingi mpaka kuimaliza kabisa. Tofali moja ni 1000 hiyo bei ya kigamboni huko kwingine ni 850. Jumla ni milioni 5. Cement haiwezi kuzidi tani 2 kila tani mifuko mia ya cement na kila mfuko kwa bei ya kiwandani ni 12500. Jumla milioni 25. Weka milioni 10 za kokoto na mchanga weka milioni 7 za bati weka na 20 milioni za finishing na 10 milioni za fundi. Hiyo ni gharama ya Nyumba ndogo ya kisasa yaani ya Kifahari.
LETA HUO MCHANGANUO WAKO WA THREE BEDROOM MILIONI 200