Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan anaish kwenye nyumba ya kupanga????Utajir was billion 1 half nyumba zake hazijaisha....labda billion ya zimbabwe
View attachment 325924 Mtu mwenye mali za bilioni moja hawezi tembelea gari kama hii ya kubana mafuta... Usicheze na bilioni, ukiwa na hiyo mali huwezi kuishi kimawazo mawazo...
Poor mind, unajua anamiliki magari mangapi?unajua thamani ya nyumba y(z)ake, unajua ana vitega uchumi gani na thamani ya hivyo vitega uchumi?watu wengi wana networth ya bilioni moja japo hawajawahi kuishika au kukaa benki kwa pamojaView attachment 325924 Mtu mwenye mali za bilioni moja hawezi tembelea gari kama hii ya kubana mafuta... Usicheze na bilioni, ukiwa na hiyo mali huwezi kuishi kimawazo mawazo...
Ukiona mtu ana mali za kufikia bil 1 na anatembelea gari ya mil 200 ujue huyo huo utajiri wake ni fake...ujue watu waliotafuta hela kwa shida hawafuji pesa kwa hayo magari..na ukiambiwa utajiri wa 1bil siyo hela cash...ni pamoja na vitega uchumi...sasa kama una nyumba kwa mfano zenye thamani ya mil 800 uuze ununue gari ya mil 300 kisa uonekane una pesa...?View attachment 325924 Mtu mwenye mali za bilioni moja hawezi tembelea gari kama hii ya kubana mafuta... Usicheze na bilioni, ukiwa na hiyo mali huwezi kuishi kimawazo mawazo...
Unapoambiwa utajiri wa bilioni moja sio kwamba CASH aliyonayo bank au CASH aliyonayo mfukoni, ni jumuisho la pesa aliyonayo sasa pamoja na aliyowakopesha watu pamoja na mali zake, kuanzia gharama ya kiatu, saa, gharama ya hiyo saluni yake, gharama ya maghari yake, gharama ya nyumba yake iloisha, gharama ya hizo nyumba zake ambazo haIjaisha yaani gharama zake mpaka sasa.Utajir was billion 1 half nyumba zake hazijaisha....labda billion ya zimbabwe
mwache awadanganye wajingawajingaView attachment 325924 Mtu mwenye mali za bilioni moja hawezi tembelea gari kama hii ya kubana mafuta... Usicheze na bilioni, ukiwa na hiyo mali huwezi kuishi kimawazo mawazo...
Hata Wema Sepetu alituonesha nyumba ya mil. 400 ila sahiv anapanga teh tehChuki mbaya sana inakufanya udumae kiakili badala ya kuangalia maisha yako unabaki kuwachukia waliokuzidi kwa mali ukidhani kwa kufanya hivyo ndio utakuwa nao sawa kumbe unapoteza muda wako tu.
![]()
Team " 966" plate namba zake, au ulitaka zote awe amepanda kwa pamoja ?????