Ney wa Mitego ana utajiri wa zaidi ya Bil.1?

Ney wa Mitego ana utajiri wa zaidi ya Bil.1?

Gari-la-Nay.png
Mtu mwenye mali za bilioni moja hawezi tembelea gari kama hii ya kubana mafuta... Usicheze na bilioni, ukiwa na hiyo mali huwezi kuishi kimawazo mawazo...
 
Chuki hazisaidii,km kidogo anachopata anawekeza kwnn asiwe na pesa nyng??Kumbuka biashara znaingiza pesa kuliko mziki,km ana hvyo vtega uchumi alivyovitaja na vikawa vinamlipa fresh,kua na hyo billion moja ni reasonable kabisa....
 
View attachment 325924 Mtu mwenye mali za bilioni moja hawezi tembelea gari kama hii ya kubana mafuta... Usicheze na bilioni, ukiwa na hiyo mali huwezi kuishi kimawazo mawazo...
Poor mind, unajua anamiliki magari mangapi?unajua thamani ya nyumba y(z)ake, unajua ana vitega uchumi gani na thamani ya hivyo vitega uchumi?watu wengi wana networth ya bilioni moja japo hawajawahi kuishika au kukaa benki kwa pamoja
 
View attachment 325924 Mtu mwenye mali za bilioni moja hawezi tembelea gari kama hii ya kubana mafuta... Usicheze na bilioni, ukiwa na hiyo mali huwezi kuishi kimawazo mawazo...
Ukiona mtu ana mali za kufikia bil 1 na anatembelea gari ya mil 200 ujue huyo huo utajiri wake ni fake...ujue watu waliotafuta hela kwa shida hawafuji pesa kwa hayo magari..na ukiambiwa utajiri wa 1bil siyo hela cash...ni pamoja na vitega uchumi...sasa kama una nyumba kwa mfano zenye thamani ya mil 800 uuze ununue gari ya mil 300 kisa uonekane una pesa...?
 
Utajir was billion 1 half nyumba zake hazijaisha....labda billion ya zimbabwe
Unapoambiwa utajiri wa bilioni moja sio kwamba CASH aliyonayo bank au CASH aliyonayo mfukoni, ni jumuisho la pesa aliyonayo sasa pamoja na aliyowakopesha watu pamoja na mali zake, kuanzia gharama ya kiatu, saa, gharama ya hiyo saluni yake, gharama ya maghari yake, gharama ya nyumba yake iloisha, gharama ya hizo nyumba zake ambazo haIjaisha yaani gharama zake mpaka sasa.
Wanaposemaga Dr. Dre ana utajiri wa dollar 1billion, hawamaanishagi cash tu uliyopo bank, ni thamani pia ya vitu vyake.
Mimi mwenyewe na ukapuku wangu thamani yangu nikiifikiria fasta fasta inaweza ikawa milioni 30, sasa yeye kwa nini isifike bilioni.
SIO PESA TU YA MFUKONI.
 
Nyumba 4=milioni 800
Vigari 5=milioni 100
Taslimu benki= milioni 100
Anaweza kuwa nayo hii kitu jamani
 
Jamaa ni Msanii
Mfanyabiashara
Aliwahi lamba dili ya Airtel
Kampen kwa Lowassa

Hawez kosa hiyo pesa!
 
Chuki mbaya sana inakufanya udumae kiakili badala ya kuangalia maisha yako unabaki kuwachukia waliokuzidi kwa mali ukidhani kwa kufanya hivyo ndio utakuwa nao sawa kumbe unapoteza muda wako tu.
images

Team " 966" plate namba zake, au ulitaka zote awe amepanda kwa pamoja ?????
 
Kama kwako umeona haiwezekani, kwa wenzako inawezekana.

Piga kazi Mkuu, Acha Majungu.
 
Labda nkudokeze
N mwanamziki, Ana bajaji kbao,pikipiki name Ana madua, anafanya mambo kwa akili we we.
Huyo muongo, akiulizwa hivyo vitu vimewekwa jina gani anasema havina jina, hadi salon haina jina lolote? Uongo mtupu
 
Watu mmesahau alikua na tangazo la airtel juz unafikiria alilipwa sh ngap
 
Chuki mbaya sana inakufanya udumae kiakili badala ya kuangalia maisha yako unabaki kuwachukia waliokuzidi kwa mali ukidhani kwa kufanya hivyo ndio utakuwa nao sawa kumbe unapoteza muda wako tu.
images

Team " 966" plate namba zake, au ulitaka zote awe amepanda kwa pamoja ?????
Hata Wema Sepetu alituonesha nyumba ya mil. 400 ila sahiv anapanga teh teh
 
Wivu humuua mtu mpumbavu, hivi unaelewa maana ya "mali zenye thamani ya bilioni moja"
Kama hana tueleze thamani halisi ya mali zake basi.
Chuki zako zisiakisi ujinga wako.
hazifiki hata million 200, Kwani Toyota Porte sh ngapi?
 
Nyumba 4=milioni 800
Vigari 5=milioni 100
Taslimu benki= milioni 100
Anaweza kuwa nayo hii kitu jamani
Hizo nyumba umethibitisha? Usiamini kila unachoambiwa, au hujui Yule ni msanii? Ile nyumba ya mil 400 ya Wema ikowapi?
 
Back
Top Bottom