Neymar Jr amekurupuka kwenda PSG

Neymar Jr amekurupuka kwenda PSG

Wachezaji wote duniani kwa sasa wako chini ya vivuli vya Messi na Ronaldo, hata uende wapi huwezi kuvikwepa hivi vivuli.

Ligi ambayo hata ukifunga magoli 40 unahesabika umefunga 20, maana yake huwezi beba kiatu cha mfungaji bora wa ulaya katika maisha yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani huu mwaka mbaya sana kwangu coz Neymar kaondoka alafu Niyonzima naye kasepa duuh
 
Back
Top Bottom