Ngao Ya Jamii, 2019: Simba SC yaichakaza Azam FC goli 4-2 kuchukua Ngao hiyo

90+3' Wakati wowote mpira utamalizika

Naaaaaaaaaaaaaaam mpira umekwisha ambapo Simba wakiibuka kwa ushindi wa mabao manne kwa mawili na kutawazwa kuwa mabingwa wa Ngao ya Jamii

Simba SC 4-2 Azam FC
 
Kwani kimetokea nini mbona wagulagula,mbutembute wanatoa povu.Kimetokea nini,??
 
Kwani kimetokea nini?Mbona nasikia vigelegele kwa mbali.Kimetokea nini,???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…