Ngao ya Jamii 2023/2024 itakwenda Simba Sc, NBC 2023/2024 Bingwa atakuwa Simba Sc

alibashiri Al ahly kubeba ubingwa champion league
alibashiri yanga kupoteza fainal
alibashiri Far rabat kuwa mabingwa wA morocco
alibashiri meko kudedi 2years before
Alianza kubashiri Yanga kupoteza Robo final dhidi ya Rivers, Akatabili Yanga kupoteza Semi dhidi ya Malumo, akatabili kupoteza dhidi Ya USM Algers.

Kumbuka kunguru kumnyea mtu sio kwamba ana shabaha.
 
alibashiri Al ahly kubeba ubingwa champion league
alibashiri yanga kupoteza fainal
alibashiri Far rabat kuwa mabingwa wA morocco
alibashiri meko kudedi 2years before
JF inatabia ya kuhifadhi risiti, hebu tuwekee hizo threads alizo tabiri.
 
Acha ubishi wewe... We siunataka yatimie kaa kwa kutulia ujionee kikubwa uhai hayo mengine mpaka uletewe sijui link ni mbwembwe tu ila hizo zipo humu Jf mbona.
Swala sio kutaka yatimie, tunaomba reference tuone tabiri zake zilizopita maana watu wamedai hajawahi kosea. Tuanzie hapo kwanza kwenye kutokukosea. Leteni hizo link za tabiri zake tuzione.
 
Wa kawaida wakati amechezea timu kubwa kama Orlando pirates , mamelodi nk
Huko Sundowns ni kama hakufanya kitu Pirates walijuta kumnunua wakamtoa Kwa mkopo mazima wewe Skudu humjui endelea kukaza fuvu muda utasema..
Mchezaji kila mwaka anahama timu hata Pirates kumpeleka Chippa United hawakuwa na ujanja walishaingia mkenge..
 
Nakubali
 
Hata Mikison na Chama huko Uarabuni walishindwa kufurukuta
 
Nakubaliana na ww 100%...i declare interest mm ni Yanga damu bt kwa hili nakubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…