Ngao ya Jamii, Tanzania: Simba SC na Yanga SC, nani kuibuka mshindi?

Baasa ya kutabiri kwa usahihi mechi ya pili ya Simba na Yangaa kwa mara nyingine tena ninatoa utabiri wangu wa mechi ya jumatano.

Katika mechi hiyo itakayopigwa Uwanja wa Taifa, Yanga itafugwa goli 2 bila majibu. Na goli hizo zitafugwa na kati ya Emanuel Anold Okwi,John Boko na Shiza Ramadhani Kichuya. Kama ikitokea Kichuya akafunga,magoli yake yatakuwa yale yale ya ajabu ajabu aliyowafunga Yanga mechi mbili zilizopita. Nazungumzia yale magoli ya kisayansi.
 
Yanga na Simba zikicheza j'mosi mara nyingi Simba huondoka na ushindi, zikicheza j'pili mara nyingi Yanga huondoka na ushindi, siku nyingine yoyote huishia kwa droo au Yanga kushinda kwa ushindi mwembamba...
 
149c770bdc4989cbf47c341240b4453a.jpg

Achana na machines hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baasa ya kutabiri kwa usahihi mechi ya pili ya Simba na Yangaa kwa mara nyingine tena ninatoa utabiri wangu wa mechi ya jumatano.

Katika mechi hiyo itakayopigwa Uwanja wa Taifa, Yanga itafugwa goli 2 bila majibu. Na goli hizo zitafugwa na kati ya Emanuel Anold Okwi,John Boko na Shiza Ramadhani Kichuya. Kama ikitokea Kichuya akafunga,magoli yake yatakuwa yale yale ya ajabu ajabu aliyowafunga Yanga mechi mbili zilizopita. Nazungumzia yale magoli ya kisayansi.
Nakubaliana na utabiri wako mdau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 . Manila
2 . Nyoni
3 . Zimbwe
4 . Mbonde
5 . Mwanjale
6 . Kotei
7 . Kichuya
8 . Mzamiru
9 . Mavugo
10 .Okwi
11 . Niyonzima
Natabiri hicho nd'o kikosi cha kuwaangamiza vyura wote .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom