GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mkuu, kuna mahali nimekuita utoe ufafanuzi, lakini sikuoni
Nimeshajibu Mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, kuna mahali nimekuita utoe ufafanuzi, lakini sikuoni
TFF sio ya Malinzi tena na refarii wa mfukoniSawa Mechi hiyo viti vitavunjwa au?
Yanga bingwa kivipi?
Jumatamu=Jumatano.Sasa si usubiri hiyo J5. Mimi ntashinda BIKO hiyo hiyo Jumatamu
Refa ni wa Wambura?TFF sio ya Malinzi tena na refarii wa mfukoni
Mkuu nimekuelewaYanga na Simba zikicheza j'mosi mara nyingi Simba huondoka na ushindi, zikicheza j'pili mara nyingi Yanga huondoka na ushindi, siku nyingine yoyote huishia kwa droo au Yanga kushinda kwa ushindi mwembamba...
Nakubaliana na utabiri wako mdau.Baasa ya kutabiri kwa usahihi mechi ya pili ya Simba na Yangaa kwa mara nyingine tena ninatoa utabiri wangu wa mechi ya jumatano.
Katika mechi hiyo itakayopigwa Uwanja wa Taifa, Yanga itafugwa goli 2 bila majibu. Na goli hizo zitafugwa na kati ya Emanuel Anold Okwi,John Boko na Shiza Ramadhani Kichuya. Kama ikitokea Kichuya akafunga,magoli yake yatakuwa yale yale ya ajabu ajabu aliyowafunga Yanga mechi mbili zilizopita. Nazungumzia yale magoli ya kisayansi.
Kusimama na huyo kikongwe kufanya nini?
Kwa hiyo atabili baada ya dakika 90?Subiri dk 90 acha ulozi