Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,098
- 631
- Thread starter
- #81
Simba anashinda goli ngapi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba anashinda goli ngapi??
Chirwa na Okwi nani Kikongwe mkuu??Kusimama na huyo kikongwe kufanya nini?
Yanga 1-Simba 2Simba anashinda goli ngapi??
Ila sio siri nyuzi za sports hasa mpira wa Tanzania zipo low sana, hazina uchambuzi, hakuna cha kujifunza ni watu kuropoka tu.Mechi ya ngao ya Jamii, itachezwa jumatano tarehe 23/08/2017 na hii ni kuonyesha ufunguzi mpya wa Ligi kuu ya Vodacom ambayo itaanza mwishoni mwa wiki.
Kila mtu anaipenda timu flani kati ya Simba SC na Yanga SC, na siku hiyo ni lazima mshindi apatikane hata kwa penati.
Nani kuibuka mbabe? Simba SC au Yanga SC.
Mandla.
Kwa taarifa yako mimi ni mwanachama hai wa Simba Sports Club.
Nilikuwa namwuliza kitu huyo aliyetabiri matokeo.
Alijichanganya ktk maelezo yake.
Wewe ndiyo umejichanganya alisema kati yao hao aliowataja ndiyo watafunga sasa ukuelewa nini?
hah hah kwani malinzi ndiye aliyekuwa akivunja viti?TFF sio ya Malinzi tena na refarii wa mfukoni
kesho mtu anapigwa za kutoshaHamna hofu Simba hata kidogo ladda nyie watani ndio mna hofu ya tano kujiludia tena kabla hamjalipa tano za kwanza.
Chirwa angekuwa kiongwe si ungeshamuona na jezi nyekunduChirwa na Okwi nani Kikongwe mkuu??
Refa anachezesha mpira wa Simba Vs Yanga.hah hah kwani malinzi ndiye aliyekuwa akivunja viti?
Ni kweli ni mashine hizo. Ila wote hao wanini.? Kwa mashindano gani tuliyonayo mpaka uwe nao wote hao. Huo ni uoga wa maisha
Hakuna utabiri kwenye soka..mikeka ingekuwa haichanikiKwa hiyo atabili baada ya dakika 90?
Baasa ya kutabiri kwa usahihi mechi ya pili ya Simba na Yangaa kwa mara nyingine tena ninatoa utabiri wangu wa mechi ya jumatano.
Katika mechi hiyo itakayopigwa Uwanja wa Taifa, Yanga itafugwa goli 2 bila majibu. Na goli hizo zitafugwa na kati ya Emanuel Anold Okwi,John Boko na Shiza Ramadhani Kichuya. Kama ikitokea Kichuya akafunga,magoli yake yatakuwa yale yale ya ajabu ajabu aliyowafunga Yanga mechi mbili zilizopita. Nazungumzia yale magoli ya kisayansi.