Pre GE2025 Ngara: Rais Samia & Mbunge Ndaisaba Ruhoro Wachangiwa Fedha za Kuchukua Fomu 2025

Pre GE2025 Ngara: Rais Samia & Mbunge Ndaisaba Ruhoro Wachangiwa Fedha za Kuchukua Fomu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
Kikundi cha Umoja wa Wanawake Maendeleo katika mkutano waliouandaa wamechangia jumla ya shilingi 513,400 kwaajili ya Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ili kuchukua fomu ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2025

Ndaisaba Ruhoro amesema, ifikapo mwaka 2025 tunakwenda kupata mgombea mwana Mama katika nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Watu wa Rulenge mmeonyesha njia, mfano mwema kwa Wanawake wote wa Tanzania

Mbunge Ndaisaba Ruhoro ameahidi kutoa Sola na Taa kubwa za kisasa za kufungwa juu barabarani katika Mamlaka ya Mji Mdogo wa Rulenge, Ngara ili Wanawake Wajasiriamali wafanye biashara zao kwa Uhuru

Aidha, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro amepongeza Wanachama wa CHADEMA waliohamia CCM akiwemo Ndugu Kachunkwa ambaye ni mfanyabiashara wa Rulenge, Ngara na kuendelea kuwakaribisha wanachama wengine walio tayari wajiunge na CCM
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2024-11-17 at 10.57.16.jpeg
    WhatsApp Image 2024-11-17 at 10.57.16.jpeg
    104.8 KB · Views: 4
  • WhatsApp Image 2024-11-17 at 10.57.18.jpeg
    WhatsApp Image 2024-11-17 at 10.57.18.jpeg
    110.9 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2024-11-17 at 10.57.21.jpeg
    WhatsApp Image 2024-11-17 at 10.57.21.jpeg
    105.5 KB · Views: 3
  • WhatsApp Image 2024-11-17 at 10.57.23.jpeg
    WhatsApp Image 2024-11-17 at 10.57.23.jpeg
    104.8 KB · Views: 3
  • WhatsApp Image 2024-11-17 at 10.57.25.jpeg
    WhatsApp Image 2024-11-17 at 10.57.25.jpeg
    109.4 KB · Views: 2
Back
Top Bottom