cacutee
JF-Expert Member
- Apr 9, 2024
- 1,333
- 3,512
Guys week end naona imeisha sasa mnajipumzisha ili kesho muianze juamatatu kwa nguvu zote.
Sasa basi, mwaka huu ulipoanza moja ya resolution nilizokuwa nimefanya ni kuwa karibu na Mungu na kumtumikia kwa nguvu zote unlike Miaka iliyopita ambayo nilikuwa msela msela tu kwa ishu za Mungu kwamba nakuja tu mara chache chache bila kujali. Nilikuwa kukaa mwaka mzima sijakanyaga kanisani kawaida Sana. Sasa hii hali ilinikera mno moyoni nikaamua sasa niwe busy na kanisa....Kweli nikajiunga na baadh ya vyama pale kanisani na mara paaap nikajikuta nshakuwa muumini ninayejulikana kwa jitihada nilizoonesha. Had sasa Nina majukumu ya kikanisa nimepatiwa.
Jamani shetani hakubali kunyang'anywa mateka😭
Siku ya siku likatokea tukio kubwa Sana ambalo lilifanyikia pale chachi... Me nkawa sijiskii ku attend lile tukio... Ila nkajivuta kibishi nkavaa vizur kiaina thou ilikuwa casual flan. Mh sasa nafika chach watu nakutana nao naowajua kibaoo na wengi wakaka tulipoteana shule huko. Wakawa wanasifia nimekuwa tofaut na nyuma....Wakaomba namba bla bla kibao siku ikaisha.
Jioni nimesharudi home nimejipumzisha nashangaa namba ngeni inaita.... Me nkaipokea
Me : Hallooo
Ye ye: Halloo habari
Me: Safi nani mwenzangu
Ye ye: me DK
Me: haaaaa yani moyo ulipiga paaaaaaaaaaaa na nkajawa na furaha na tabasamu hatari
Huyu D ni ex wangu sijui nisemeje. Ila nilimpenda na tulipendana mnoo Ila tukapoteana sababu ya shule nakadhalika.
Kumbe aliniona Ila kwa kuwa umati ulikuwa mkubwa Sana tukapoteana na me nikawahi kuondoka baada ya watu kutawanywa.
Basi kilichofuata ni Historia... Maana kwa Kweli alifurahi na nilifurahi kukutana nae tena.
Ilibidi turudishe upya Yale ya zamani.... Maana kwakweli bado mioyo yetu inahitajiana Sana. Since then kwakweli kila Mtu anafurahia hii reunion.
Na kinachoniuma ni ule Mkakati wangu wa kutoyumba kiroho. Sasa kwakweli Sijui nifanyeje Ila ndo hvyo.
Mungu anisamehe kwakweli nimeyumba.
Angalizo: ninaona Luna watu mnaniita shoga. Me ni mwanamke ninayetumia picha ya mubaba. Me sio mwanaume