Ngoja leo niwape kastory flani kuhusu dear X

Uzuri nyie mnaingia na miguu yote miwili wengine tunaingia mguu mmoja nje mwingine ndani ili likitokea la kutokea tuna pakuanzia
Sio kuzama Ila kama nimefika lazima njiachie. Sitaki maigizo. Nainjoi moment ikiisha basii
 
Mume wangu najua huwa unapita hapa. Ila usichukulie serious Sana haya yalishapitamo
 
Mwamba apewe pongezi kwa kweli ame pata mke , amzingatie sana watafika mbali mno.
Pendaell pale Sina ujanja
Niamue tu kuikatili nafsi Ila tukikutana hakuna mwenye ubavu wa kumkata mwingine.
Labda tuishi mikoa tofauti Ila kosa kuwa karibu ni shida
 
Maybe hamkukutana njiani , yaani mmetoka mbali sio?
 
Yeah tulitoka mbali na family yake inanijua na kunipenda haswaa
Mama yake alitamani Sana niwe mkwe
Ohh, vizuri.
Ndio athari za moyo uliopenda, huwa ni vigumu kusahaliana,ikitokea sababu ya kurudiana haitumiki nguvu nyingi.na mara nyingi mnafika mbali pia.
 
Sijabahatisha boss
Hatujakutana barabarani
 
Mkuu Kuwa karibu na Mungu na kumtumikia Mungu sio kwenda kanisani.

Ila ni kufuata sheria zake zote Kwa uaminifu.

Na unasema kabisa unafurahia huo Uzinzi na unasema Mungu akusamehe.

Seriously? Jitafakari.

Nanukuu

"Nayajua matendo yako, ya kuwa hu baridi wala hu moto; ingekuwa heri kama ungekuwa baridi au moto.

Basi, kwa sababu una uvuguvugu, wala hu baridi wala moto, nitakutapika utoke katika kinywa changu."
 
Nimekiri uzaifu
Nitaacha boss Ila DK hajaoa
 
Back
Top Bottom