Ngoja mtoto wako afike adolescent age (foolish age) ndio utaukumbuka umuhimu wa shule za Kayumba

Bro unazungumzia kupata elimu au kutoboa...?? Kutoboa katika nyanja ipi uchumi au Elimu..??

Kupata Elimu ni haki ya kila Mtu, lakini kusoma au kutafuta elimu kwa bidii ilo ni jukumu lako na sio HAKI.

Wewe kama uliweza katika izo shule za KATA vipi wengine walishindwa..??

Lazima utumie nafasi ulioipata kupata unachokitaka.
 
Malexmzi muhimu yanaanza mtoto akifika miaka 13, yanaenda mpaka 19.

Hapo mzazi / mlezi unatakiwa uwe makini sana.
Kama ni samaki hapo atakuwa ameshaanza kukauka.
Mimi naona kuanzia 0 mpaka 19. Ukikaza Uzi mwanzo mwisho utamfikisha sehemu
 
Kama ni samaki hapo atakuwa ameshaanza kukauka.
Mimi naona kuanzia 0 mpaka 19. Ukikaza Uzi mwanzo mwisho utamfikisha sehemu
0-13 wanaiga kwa wazazi wao, ndio kujifunza kwenyewe huko.

Ukiona mtoto yupo hovyo miaka hiyo elewa kuwa wazazi au walezi wake wapo hovyo. Mtoto hafundishwi kwa kuambiwa "fanya hivi" au "fanya vile", mtoto anafundishwa kwa vitendo vya walezi.
 
Dah umeongea cha msingi,Mimi mtoto wangu nmempeleka private school.
Yupo kidato cha kwanza lengo apate maadili ya kiimani.
Kuanzia la kwanza hadi la Saba hakuwahi kusoma dini yake hata kidogo.
Huwa naongea nae mara kwa mara tangu akiwa darasa la sita ili awe huru!
 
naona sasa hivi viongozi wa ccm hamtaki watoto wetu na wao siku moja waje kufaidi keki ya taifa. mnataka muendelee kuongoza nyinyi na na vizazi vyenu pekee! sijawahi kuona watu wabinafsi kama nyinyi?
kwa hiyo sisi kujichanga ili tuwapeleke watoto wetu wasome na watoto wenu huko wanakosoma, napo hamtaki?!
what a kind of awkward advice?!!
 

Kayumba na English Medium wote tutakutana chuo Mliman au Udom..

Hizi mambo bana, Mtoto unamsomesha alpha ada M7 kwa mwaka, then anakuja kufanya kazi ya mshahara laki 5 kwa mwezi...

😄
 
Yupo kidato cha kwanza lengo apate maadili ya kiimani.
Kuanzia la kwanza hadi la Saba hakuwahi kusoma dini yake hata kidogo
Umefanya research kuhusu watanzania dini na maadil. Maelfu ya watanzania unaowaona walevi, wazinzi, mafisadi, waongo.
Wamesoma dini, wanaenda kanisani, msikitini.
Dini wala hsijafanikisha kubadili watu wasiwe na maadili mabaya. Majoroty watu wana maadili mabaya kwa uchunguzi wangu.
Wasio na dini na wenye fini wale wale
Mtu akikua mkubwa anakuwa na serikali yake.
Mpeleke tu kwa sababu ni mazoea ila sidhani kama atakuwa tofauti na wengine tunaowaona mtaani.
 
Umeongea point kubwa sana mkuu
 
Nimekuelewa sana ila huwa naongea nae vitu vingi vinavyoendana na umri wake naamini hakuna kinachoshindikana tukisema tuache kuwalea watoto katika tamaduni na dini zetu tutatengeneza bomu la nyuklia.
 
Mimi nakuelewa sana,sana.
 
Huyo mama anayedhani mtoto wake karogwa, mtoto yuko sawa, sasa mboost na hii atakuja kukushuru.

www.denotechtraining.co.za
 

Attachments

  • Screenshot_2024-07-20-21-20-33-10.png
    380.4 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…