Ngoja mtoto wako afike adolescent age (foolish age) ndio utaukumbuka umuhimu wa shule za Kayumba

Ngoja mtoto wako afike adolescent age (foolish age) ndio utaukumbuka umuhimu wa shule za Kayumba

Shule nzuri ni shule zenye kumjengea mtoto uwezo wa kujitegemea hata asipopata ajira rasmi aweze kuishi...achana na zile shule za unasoma Ili uje kuwa nani?

Huoni sasa unazizungumzia shule za Kayumba dada angu? Kwa sababu kiuhalisia Kayumba ndo zinamjengea mtoto uwezo wa kujitegemea na uhalisia wa maisha tofauti na huko English Mediums ambako watoto hawawezi hata kufanya usafi wa madarasa yao wenyewe. Kila kitu wanafanyiwa
 
Hakuna atakayepingwa hapa. Kila mzazi anataka watoto wake WAPANCHI.
Iwe kayumba au private...ila kwenye dunia yangu nimewashuhudia WAKAYUMBA MJINI DAR WAKIPASUA MAISHA ZAIDI KULIKO PRIVATE..
Sielewe kwanini ila WANAWA DISSAPOINT wazazi wao mpaka unawasikitia
Nitajie watu mashuhuri waliotoboa waliosoma shule zenye magari ya njano. Ukimuondoa Mohammed Dewj nani mwingine? Nitajie hapa

Mo dewji hajasoma shule za mabus ya njano za necta. Mo dewji ni IST.

IST watoto wanapelekwa na usafiri binafsi na kufatwa
 
Huoni sasa unazizungumzia shule za Kayumba dada angu? Kwa sababu kiuhalisia Kayumba ndo zinamjengea mtoto uwezo wa kujitegemea na uhalisia wa maisha tofauti na huko English Mediums ambako watoto hawawezi hata kufanya usafi wa madarasa yao wenyewe. Kila kitu wanafanyiwa
Brother mtaani hatufagii!mtaani unachanganya brain.....Kayumba zinamfundisha mtoto kilimo Cha jembe what's the hell 21century nani analima na jembe....
Hiyo ya kukosa nidhamu ni malezi ya mzazi,usiilamu shule mwanao kumshindwa kifua hapo shule inahusika vipi?
 
Ndio maana nasema shule za Kayumba zinafundisha uhalisia kwa sababu kiuhalisia watanzania wengi vijijini bado wanatumia jembe la mkono plus n'gombe.. Ni watanzania wachache sana wenye uwezo wa kumudu matrekta. Kwa hiyo ni bora kuwafundisha uhalisia kuliko kuwafundisha vitu vya kufikirika.

Unapo mfundisha mtoto kuwa msafi na kufanya usafi wa mazingira yake haumuandai kwenda kufanya kazi ya usafi ila una muandaa kuwa responsible
 
Sasa kufagia Nako ni suala la kumfagilisha mtoto shule?su vimambo vya kuwa train nyumbani hayo?mzazi ukiwa legelege mtoto ndio atakuwa hivyo
Ni vile umeleta tu mada,ila deep ur heart unajua kabisa hizo kayumba ni bosheni tu ,kama Mwenyezi Mungu anakujalia kipato peleka mtoto English medium...ova
 
Nimesomesha mtoto English Medium kuanzia chekechea mpaka la saba na secondary private form one mpaka form 4. Nazijua English Medium vizuri sana nje ndani. Siwezi peleka mtoto wangu yoyote yule kwenye English Medium. Hata walimu wa shule za English Medium watoto wao wana wapeleka kayumba au English Mediums za serikalini.

Sijui kama una mtoto dada angu lakini jua tu Mtoto akiwa mdogo anakuwaga mzuri kweli. Yani hata unapokuwa unatoa vimilioni vyako unakuwa una ona yes am doing something. Ila mtoto huyo huyo akishafikia adolescent age ndio utajua kumbe ulikuwa hujui. Ni katika kipindi hicho ndio wazazi huwa wanajuta kwanini walimleta mtoto duniani.
 
Nina watoto na wanasoma English medium,sitaki wapate mateso niliyopata Mimi kuchanganya past na future tense,Kuna namna nyingi za kutengenezana nidhamu ya mtoto...mfundishe Imani Yako na aishike vyema,muongoze vyema kwenye level ya familia....kuhusu kubadilika balehe inambadilisha kila mtoto hakuna Cha medium wala kayumba
 
Haya bana.
 
Mtoto wa English Medium ya Shinyanga vijijini anaweza kumshinda exposure mtoto anae soma Kayumba ya mjini daslamu? Let's say Gerezani Primary au Muhimbili Primary school?

Mjini mjini tu,ila mtoto wa english medium huwezi mlinganiasha na mtoto anayesoma temeke shule ya msingi.
 
Sio kweli.. hata mifano maarufu ipo mingi sana. Kwa mfano unajua Paula Kajala kasoma shule gani kuanzia chekechea hadi form six? What is she doing now? There are so many Paulas
Mjini mjini tu,ila mtoto wa english medium huwezi mlinganiasha na mtoto anayesoma temeke shule ya msingi.
 
Ili wajilipue na kuwa mashoga

Suala la mashoga waulize ndugu zako mayahudi na wazungu waliohalalisha ushoga, wakiwemo na ndugu zako waafrika/wakristo/waumini waliohalalisha kuowana ndoa za jinsia moja.

Sisi waislamu alhamduliLlah tupo mbali na huo ushenzi mliorithi kwa ndugu zenu.
 
Na mfano halisi wa hiki ulichoandika ni huyu mwanadada mtangazaji wa Wasafi anayejiita (Diva The bawse)

Huyo mwanadada kupika chochote kile ni mpaka aingie youtube kujifunza, kufua hawezi, mashine ndo zinafua, mwanamke kama huyu unamuoa kutafuta nini kama siyo balaaa!!

Sindio maana kaolewa na mganga
 
nilipitia izo kayumba. kila siku tulibeba vidumu vya maji kilometa kadhaa, wikendi tulikata kuni, nyasi za kuonesha shuleni j'tatu, tulibeba kichwani matofali ya watu binafsi ili shule ipate pesa. hapo bado hamjakutana na wale walimu wanachapa watoto wadogo km wanauwa nyoka.

iliumiza sana. bahati mbaya watoto wapenda shule au wanaofatiliwa na wazazi ndio walioishia kuumia.

wale watoto wasio na uangalizi nyumbani wengi wao wakiondoka ndo wanapotea mazima. hamuwaoni tena!

leo hii ukiniuliza kama ningependa uzao wangu upitie maisha hayo ya mateso kama tulopitia wazazi bila shaka jibu unalo hapo.
 
Kayumba ni shule za wale wasio kua na plan B, wenye abject povert,....... wanao toboa maisha kupitia elimu wengi hutokea shule za magari ya njano, kijiji chetu tulio maliza darasa la saba tulikua 105, tulio weza kufika dar es salam na kuendekea na elimu ya juu tuko wa wili tu, kijiji kizima kina tutetegemea sisi mwaka uliofuatia hamna alio toboa, mwenzangu alisoma dip in electronics, mimi ndo nilio toboa zaidi.........

Wengi ni boda boda, wakulima, vibarua, mama wanyumbani, wengine walisha kufa n.k.......elimu ya kayumba is harzadius au massacre kwa future za watoto wa kitanzania, mpaka pale ccm itakapo kua na utashi wa kuboresha elimu ya nchi hi, mimi sitakuja kumpeleka mwanangu shule hizo hiyo ni 'ecademic suicide'.
Nilipofika chuo kikuu nilifurahi sana 🤣🤣🤣 Nilipokuta kuna watu wametumia mamilioni kufika nilipo mimi ambae nimetumi negative cost

Chekechea mpaka la saba nilitumia elfu 50-, kidato cha kwanza mpaka cha nne nilitumia Laki mbili jumla Laki 2.5
KICHEKESHO SASA 😂😂😂 Kidato cha Tano mpaka sita nilitumia Laki mbili Jumla LAKI NNE NA NUSU (4.5)

Alafu msosi buleee Milo mitatu 🤣🤣🤣 kulala bulee🤣🤣🤣 Umeme na maji ni buleee Tumewekewa na walinzi WATATU 🤣🤣🤣

Wasichana waliotoka private pale chuo wengi walikuwa wanavaa NUSU UCHI uzungu mwingi, kudanga, na kuliwa na wakufunzi kama samaki, kichwani boxes anajua kingereza tu lakini Mavituzi Hana ANGALAU wanaume mwanzo walikuwa wanatuletea dharau lakini wakaja kusika kuwa sisi kudharauliwa ndio mbolea yetu kwenye mapepa tukawa tuna wakimbiza kama PANYA ivo wakaamua kujiunga kukaanza kushea nao madude ila ni wazito sana kwenye kuelewa na kushika madude
 
Tafuteni pesa.jpg
 
Back
Top Bottom