Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shule nzuri ni shule zenye kumjengea mtoto uwezo wa kujitegemea hata asipopata ajira rasmi aweze kuishi...achana na zile shule za unasoma Ili uje kuwa nani?Kwa FAIDA ya wasio jua tunaomba please definition ya shule nzuri
Shule nzuri ni shule zenye kumjengea mtoto uwezo wa kujitegemea hata asipopata ajira rasmi aweze kuishi...achana na zile shule za unasoma Ili uje kuwa nani?
Hakuna atakayepingwa hapa. Kila mzazi anataka watoto wake WAPANCHI.
Iwe kayumba au private...ila kwenye dunia yangu nimewashuhudia WAKAYUMBA MJINI DAR WAKIPASUA MAISHA ZAIDI KULIKO PRIVATE..
Sielewe kwanini ila WANAWA DISSAPOINT wazazi wao mpaka unawasikitia
Nitajie watu mashuhuri waliotoboa waliosoma shule zenye magari ya njano. Ukimuondoa Mohammed Dewj nani mwingine? Nitajie hapa
Brother mtaani hatufagii!mtaani unachanganya brain.....Kayumba zinamfundisha mtoto kilimo Cha jembe what's the hell 21century nani analima na jembe....Huoni sasa unazizungumzia shule za Kayumba dada angu? Kwa sababu kiuhalisia Kayumba ndo zinamjengea mtoto uwezo wa kujitegemea na uhalisia wa maisha tofauti na huko English Mediums ambako watoto hawawezi hata kufanya usafi wa madarasa yao wenyewe. Kila kitu wanafanyiwa
Brother mtaani hatufagii!mtaani unachanganya brain.....Kayumba zinamfundisha mtoto kilimo Cha jembe what's the hell 21century nani analima na jembe....
Hiyo ya kukosa nidhamu ni malezi ya mzazi,usiilamu shule mwanao kumshindwa kifua hapo shule inahusika vipi?
Sasa kufagia Nako ni suala la kumfagilisha mtoto shule?su vimambo vya kuwa train nyumbani hayo?mzazi ukiwa legelege mtoto ndio atakuwa hivyoNdio maana nasema shule za Kayumba zinafundisha uhalisia kwa sababu kiuhalisia watanzania wengi vijijini bado wanatumia jembe la mkono plus n'gombe.. Ni watanzania wachache sana wenye uwezo wa kumudu matrekta. Kwa hiyo ni bora kuwafundisha uhalisia kuliko kuwafundisha vitu vya kufikirika.
Unapo mfundisha mtoto kuwa msafi na kufanya usafi wa mazingira yake haumuandai kwenda kufanya kazi ya usafi ila una muandaa kuwa responsible
Kwenye mitihani ya kitaifaWamejitahidi kwenye nini?
Nimesomesha mtoto English Medium kuanzia chekechea mpaka la saba na secondary private form one mpaka form 4. Nazijua English Medium vizuri sana nje ndani. Siwezi peleka mtoto wangu yoyote yule kwenye English Medium. Hata walimu wa shule za English Medium watoto wao wana wapeleka kayumba au English Mediums za serikalini.Sasa kufagia Nako ni suala la kumfagilisha mtoto shule?su vimambo vya kuwa train nyumbani hayo?mzazi ukiwa legelege mtoto ndio atakuwa hivyo
Ni vile umeleta tu mada,ila deep ur heart unajua kabisa hizo kayumba ni bosheni tu ,kama Mwenyezi Mungu anakujalia kipato peleka mtoto English medium...ova
Nina watoto na wanasoma English medium,sitaki wapate mateso niliyopata Mimi kuchanganya past na future tense,Kuna namna nyingi za kutengenezana nidhamu ya mtoto...mfundishe Imani Yako na aishike vyema,muongoze vyema kwenye level ya familia....kuhusu kubadilika balehe inambadilisha kila mtoto hakuna Cha medium wala kayumbaNimesomesha mtoto English Medium kuanzia chekechea mpaka la saba na secondary private form one mpaka form 4. Nazijua English Medium vizuri sana nje ndani. Siwezi peleka mtoto wangu yoyote yule kwenye English Medium. Hata walimu wa shule za English Medium watoto wao wana wapeleka kayumba au English Mediums za serikalini.
Sijui kama una mtoto dada angu lakini jua tu Mtoto akiwa mdogo anakuwaga mzuri kweli. Yani hata unapokuwa unatoa vimilioni vyako unakuwa una ona yes am doing something. Ila mtoto huyo huyo akishafikia adolescent age ndio utajua kumbe ulikuwa hujui. Ni katika kipindi hicho ndio wazazi huwa wanajuta kwanini walimleta mtoto duniani.
Nina watoto na wanasoma English medium,sitaki wapate mateso niliyopata Mimi kuchanganya past na future tense,Kuna namna nyingi za kutengenezana nidhamu ya mtoto...mfundishe Imani Yako na aishike vyema,muongoze vyema kwenye level ya familia....kuhusu kubadilika balehe inambadilisha kila mtoto hakuna Cha medium wala kayumba
Mtoto wa English Medium ya Shinyanga vijijini anaweza kumshinda exposure mtoto anae soma Kayumba ya mjini daslamu? Let's say Gerezani Primary au Muhimbili Primary school?
Mjini mjini tu,ila mtoto wa english medium huwezi mlinganiasha na mtoto anayesoma temeke shule ya msingi.
Wakitoka hapo wapeleke islamic state
Ili wajilipue na kuwa mashoga
Una akili ndogo sana.
Na mfano halisi wa hiki ulichoandika ni huyu mwanadada mtangazaji wa Wasafi anayejiita (Diva The bawse)
Huyo mwanadada kupika chochote kile ni mpaka aingie youtube kujifunza, kufua hawezi, mashine ndo zinafua, mwanamke kama huyu unamuoa kutafuta nini kama siyo balaaa!!
Nilipofika chuo kikuu nilifurahi sana 🤣🤣🤣 Nilipokuta kuna watu wametumia mamilioni kufika nilipo mimi ambae nimetumi negative costKayumba ni shule za wale wasio kua na plan B, wenye abject povert,....... wanao toboa maisha kupitia elimu wengi hutokea shule za magari ya njano, kijiji chetu tulio maliza darasa la saba tulikua 105, tulio weza kufika dar es salam na kuendekea na elimu ya juu tuko wa wili tu, kijiji kizima kina tutetegemea sisi mwaka uliofuatia hamna alio toboa, mwenzangu alisoma dip in electronics, mimi ndo nilio toboa zaidi.........
Wengi ni boda boda, wakulima, vibarua, mama wanyumbani, wengine walisha kufa n.k.......elimu ya kayumba is harzadius au massacre kwa future za watoto wa kitanzania, mpaka pale ccm itakapo kua na utashi wa kuboresha elimu ya nchi hi, mimi sitakuja kumpeleka mwanangu shule hizo hiyo ni 'ecademic suicide'.