Ngoja mtoto wako afike adolescent age (foolish age) ndio utaukumbuka umuhimu wa shule za Kayumba

Kupanga ni kuchagua mzee Ali tarajia takua daktari kwa kua home wote ni madaktari mzee.mom..kaka ,dada ,akazani na mimi taendeleza ,

matokeo ya form four yanatoka ana shangaa haoni somo la science ata moja .saivi familia imekua na madaktari na wakili mmoja
 
Ni shule yoyote inayo fundisha kwa mtaala wa kiswahili au inayo milikiwa na serikali kwa shule za Msingi na shule yoyote inayo milikiwa na serikali kwa shule za sekondari
Mimi definition yangu itasema isipokuwa shule za bunge,muhimbili,diamond,olyimpio,mlimani,chang'ombe,kaloleni,kitopeni,njombe,nyakahoja na zingine za miaka ileee;pia kwa sekondari zile zote zilizo chini ya wizarav ya elimu mfano Ilboru,kilakala,loleza,tabora zote 2,ndanda,korogwe,tanga tech,galanos,iyunga,shycom,dodoma sec na zingine za enzi hizo,hizo sio kayumba.
Kayumba itakuwa kayumba ikiwa ina vigezo vifuatavyo: hakuna walimu wenye kuipenda kazi ,ujana mwiingi wa walimu,uholela katika kusimamia nidhamu ya wanafunzi,staff isiyo na wito kwa maendeleo ya hawa watoto,wazazi waliojikataa na kujiona kwa hali zao hiyo ndio shule sahihi kwa watoto wao kwahiyo haina haja ya jitihada zozote za kuwasaidia walimu.
 
Nimekuelewa sana ila huwa naongea nae vitu vingi vinavyoendana na umri wake naamini hakuna kinachoshindikana tukisema tuache kuwalea watoto katika tamaduni na dini zetu tutatengeneza bomu la nyuklia.
Sawa.Jitahidi ila usiwaachie walimwengu tu wakulelee nawe unawajibu.
 
πŸ™‹β€β™‚οΈβœοΈπŸ‘πŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘ŠπŸ€πŸ™πŸ›‘οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…