Ngoja mtoto wako afike adolescent age (foolish age) ndio utaukumbuka umuhimu wa shule za Kayumba

Ngoja mtoto wako afike adolescent age (foolish age) ndio utaukumbuka umuhimu wa shule za Kayumba

Baada ya kuusoma huu uzi wa LIKUD nimezidi kuyakinisha kuwa kuna tofauti kubwa sana ya sababu za wazazi kumsomesha mtoto private schools nchi za duniani huko na sababu za wazazi wa Tanzania kumpeleka mtoto "private school".

Mfano wa nchi mbili ninazozidahamu mimi, Uingereza na Canada, mtoto anapelekwa "private schools" kwa sababu ya wazazi na hao anafunzi kujenga "connections" tu, si vingine.

Dunia ya leo siyo "what do you know" ni "whom do you know".

Hapa Tanzania ni watu wachache sana niliokutana nao wenye kulifahamu hilo.

Sahihi 100%
MamaSamia2025
 
Hufanikiwi kwa kusociliaze na watu. Unafanikiwa kwa kujitambua wewe ni nani na unataka nini kwenye maisha yako. Kwa bahati mbaya elimu itolewayo shule binafsi haimfanyi mtu ajitambue kwa sababu inamfanya mwanafunzi awaze kuhusu masomo tu. Saint Kayumba ndiyo mpango mzima. Mtoto anakuwa timamu wa akili, mwili nk. Siyo watoto mdebwedo wa shule za binafsi
Sahihi kabisa mkuu
 
Ubovu wa elimu haupo Tanzania tu ni dunia nzima elimu mbovu. Wamarekani wenyewe wanalalamika kuwa mfumo wa elimu yao umefirisika. Kwa hiyo tatizo la elimu kuwa mbovu ni la dunia nzima. Halafu elimu bora siyo ile ipatikanayo darasani. Watu wanao excel kwenye maisha yao kwa uhuru ni wale ambao hawaelekezwi cha kufanya. Wanafanya wanachotaka wao. Waliosoma sana darasani wao wanapenda kupangiwa vitu vya kufanya na kuamrishwa na watu wengine. Very incompetent.
Sawa kwa maoni yako elimu ya Tanzania ni mbovu kama ya Marekani. Umewahi kusoma Marekani? Unajua uhuru wa kila jimbo la Marekani kuendesha shule na vyuo vyake?
 
Kayumba mtoto anajua vitu vingi kuhusu maisha ,,,kufagia uwanja ,kupanda maua ,kufanya usafi chooni na darasani ,usafi kuanzia kiatu mpaka mavazi ....maana yote hayo anayafanya mwenyewe Tena Kwa fimbo ....kuelekezwa kidogo na kujitafutia kingiii .......na haya ndio maisha halisi ya Duniani ...

Kutana sasa na Hao st Mary's sijui nin ,uzungu mwingi tu [emoji23]...mtoto WA kike anajua U nooo ,bikozi ,ze boyifurendi.....kupika haijui ,kufua hajui ,usafi hajui ,hata kufagia uwanja hawezi ....anakuwa boyaaaa boyaaaa ti zobaaaa shittyt kabisa
Na mfano halisi wa hiki ulichoandika ni huyu mwanadada mtangazaji wa Wasafi anayejiita (Diva The bawse)

Huyo mwanadada kupika chochote kile ni mpaka aingie youtube kujifunza, kufua hawezi, mashine ndo zinafua, mwanamke kama huyu unamuoa kutafuta nini kama siyo balaaa!!
 
Baada ya kuusoma huu uzi wa LIKUD nimezidi kuyakinisha kuwa kuna tofauti kubwa sana ya sababu za wazazi kumsomesha mtoto private schools nchi za duniani huko na sababu za wazazi wa Tanzania kumpeleka mtoto "private school".

Mfano wa nchi mbili ninazozidahamu mimi, Uingereza na Canada, mtoto anapelekwa "private schools" kwa sababu ya wazazi na hao anafunzi kujenga "connections" tu, si vingine.

Dunia ya leo siyo "what do you know" ni "whom do you know".

Hapa Tanzania ni watu wachache sana niliokutana nao wenye kulifahamu hilo.
Sio Dunia ya leo, sema Afrika na nchi zinazoendelea ndio zina mifumo ya kujuana "whom do you know"

Kwa nchi zilizoendelea, Huitaji kujuana na mtu yeyote ili ufanikiwe au upatiwe kitu fulani.

Vigezo, ujuzi na Elimu yako ndio vitakubeba

Haya maswala ya "Whom do you know" yapo barani Afrika kwa sana.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Watoto mataifa yaliyoendelea hawapigwi Huko nako unasema je ndugu?
Thus why mapunga wengi kwa sababu ya malezi ya kijinga wanayopewa watoto kuanzia majumbani mpaka mashuleni.

biblia yenyewe inasema usimnyime mtoto mapigo, maana fimbo itauondolea mbali ujinga wake.
 
Huyu ana ahueni kuna dada mmoja mlokole best yangu, ni single mother , kamsomesha mtoto wake wa kiume shule za private kuanzia chekechea hadi form four . Dogo kapata one form form four ila anataka kusoma chuo. Kozi anayoitaka sasa!!! Anataka driving.
Duuh🤭 hatari hii..
Driving si ni ka short course tu?
Amalize hiyo driving halafu aende shuleni kama kawaida aisee
 
Na mfano halisi wa hiki ulichoandika ni huyu mwanadada mtangazaji wa Wasafi anayejiita (Diva The bawse)

Huyo mwanadada kupika chochote kile ni mpaka aingie youtube kujifunza, kufua hawezi, mashine ndo zinafua, mwanamke kama huyu unamuoa kutafuta nini kama siyo balaaa!!
Kwani kasoma private (English medium)?
 
Sio Dunia ya leo, sema Afrika na nchi zinazoendelea ndio zina mifumo ya kujuana "whom do you know"

Kwa nchi zilizoendelea, Huitaji kujuana na mtu yeyote ili ufanikiwe au upatiwe kitu fulani.

Vigezo, ujuzi na Elimu yako ndio vitakubeba

Haya maswala ya "Whom do you know" yapo barani Afrika kwa sana.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Upo "very wrong", katika maisha yangu nimeishi nchi za nje zaidi ya nilivyoishi Tanzania. Hakuna sehemu duniani usiyohitaji "apropriate connections".

Labda unifahamishe kwanini unahitaji kuwa na "connections" Tanzania na "connections" zipi?

Nakumbuka zzamani sana Nyerere aliwahi kuliongelea hilo katika hotuba yake moja alipokuwa anaelezea tofauti ya rushwa ya Tanzania na duniani huko.
 
Thus why mapunga wengi kwa sababu ya malezi ya kijinga wanayopewa watoto kuanzia majumbani mpaka mashuleni.

biblia yenyewe inasema usimnyime mtoto mapigo, maana fimbo itauondolea mbali ujinga wake.

Kina Obama ni mapunga?

Kina Putin nao ambako hata Kwa mapunga tumewazidi?

Zingatia pia reference yako ya kwenye bible ni relevant kwako na Imani yako si Kwa Kila mtu ndugu.
 
Back
Top Bottom