Ngoja mtoto wako afike adolescent age (foolish age) ndio utaukumbuka umuhimu wa shule za Kayumba


Sahihi 100%
MamaSamia2025
 
Sahihi kabisa mkuu
 
Sawa kwa maoni yako elimu ya Tanzania ni mbovu kama ya Marekani. Umewahi kusoma Marekani? Unajua uhuru wa kila jimbo la Marekani kuendesha shule na vyuo vyake?
 
Na mfano halisi wa hiki ulichoandika ni huyu mwanadada mtangazaji wa Wasafi anayejiita (Diva The bawse)

Huyo mwanadada kupika chochote kile ni mpaka aingie youtube kujifunza, kufua hawezi, mashine ndo zinafua, mwanamke kama huyu unamuoa kutafuta nini kama siyo balaaa!!
 
Sio Dunia ya leo, sema Afrika na nchi zinazoendelea ndio zina mifumo ya kujuana "whom do you know"

Kwa nchi zilizoendelea, Huitaji kujuana na mtu yeyote ili ufanikiwe au upatiwe kitu fulani.

Vigezo, ujuzi na Elimu yako ndio vitakubeba

Haya maswala ya "Whom do you know" yapo barani Afrika kwa sana.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Watoto mataifa yaliyoendelea hawapigwi Huko nako unasema je ndugu?
Thus why mapunga wengi kwa sababu ya malezi ya kijinga wanayopewa watoto kuanzia majumbani mpaka mashuleni.

biblia yenyewe inasema usimnyime mtoto mapigo, maana fimbo itauondolea mbali ujinga wake.
 
Huyu ana ahueni kuna dada mmoja mlokole best yangu, ni single mother , kamsomesha mtoto wake wa kiume shule za private kuanzia chekechea hadi form four . Dogo kapata one form form four ila anataka kusoma chuo. Kozi anayoitaka sasa!!! Anataka driving.
Duuh🤭 hatari hii..
Driving si ni ka short course tu?
Amalize hiyo driving halafu aende shuleni kama kawaida aisee
 
Kwani kasoma private (English medium)?
 
Upo "very wrong", katika maisha yangu nimeishi nchi za nje zaidi ya nilivyoishi Tanzania. Hakuna sehemu duniani usiyohitaji "apropriate connections".

Labda unifahamishe kwanini unahitaji kuwa na "connections" Tanzania na "connections" zipi?

Nakumbuka zzamani sana Nyerere aliwahi kuliongelea hilo katika hotuba yake moja alipokuwa anaelezea tofauti ya rushwa ya Tanzania na duniani huko.
 
Thus why mapunga wengi kwa sababu ya malezi ya kijinga wanayopewa watoto kuanzia majumbani mpaka mashuleni.

biblia yenyewe inasema usimnyime mtoto mapigo, maana fimbo itauondolea mbali ujinga wake.

Kina Obama ni mapunga?

Kina Putin nao ambako hata Kwa mapunga tumewazidi?

Zingatia pia reference yako ya kwenye bible ni relevant kwako na Imani yako si Kwa Kila mtu ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…