Ngoja mtoto wako afike adolescent age (foolish age) ndio utaukumbuka umuhimu wa shule za Kayumba

Soma comment namba #104
 
Middle class hauwaambii kitu kuhusu English Medium. Ila ukweli usemwe na atakae sikia asikie

#Ujasusi
 
Hoja yako haina uzito bado.
 
Habari njema leo ni kuwa muda wwote kuanzia mwakani nitaitwa baba .

Haya nayachukua ila nawaza je nitalea au nitampoteza ewe kiumbe ujaye jifunze kwa mama yako , mimi baba yako niliharibiwa na wazazi wangu
 
Habari njema leo ni kuwa muda wwote kuanzia mwakani nitaitwa baba .

Haya nayachukua ila nawaza je nitalea au nitampoteza ewe kiumbe ujaye jifunze kwa mama yako , mimi baba yako niliharibiwa na wazazi wangu

Duh!

Ova!
 
Mkuu una nyota Kali...hongera sana
 
Ai kamingi zisi propabilitizi koz fack manee wakuu
 
Huu muda wa kuandika maneno mengi hivyo huwa unautoa wapi kijana?πŸ€”
 
Kwa hiyo akina mwijaku na babalevo wamesomea hizo shule?

Inaweza ikawa kweli au unabeti...

Mfundishe mwanao ajifunze connection akiwa mdogo, connecting dots, connection za marafiki.

Kuna watu wamesoma shule za maana tupo nao municipal
 
Rudia ulichoandika mkuu. Na usome taratibu
 
Umeongea ukweli mchungu sana
Kijana wangu nimehangaishana nae mpk alipofikia si haba.
Ila kazi niliyojua itakua yake na alipewa offer ya ajira alipomaliza masomo headquater kakataa.
Ni likampuni kuubwa duniani kiasi hata hapo bongo wana branch yao.
Alinikata maini mpk basi.
Kazi anayofanya sasa!
Namwangalia napata wazimu ila poa tu atajua nilichokua naongea badae.

Kakataa
 
Niliosoma nao Kayumba zaidi ya 98% wamepigika Mbaya ki Maisha Kwa sasa
Wa Dada wadogo wamekuwa kama Vibibi, Masela Gongo zimewazeesha plus kazi ngumu za Fundi
Story yako ni ya KIFALA na inafaa kupuuzwa na Kila anayejitambua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…