Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo lazima ugeuke barafuNdio iwe ya baridi kuliko freezer yenyewe.
😂😂😂😂😂 Haya bana...Cha muhimu ukirithi mali basi jitahidi ziongezeke na wewe urithishe wanao na wajukuu bila kusahau kuwapa elimu-maadili na nasaha.
Ndio vizuri mkuuHapo lazima ugeuke barafu
Ni jukumu la mzazi kumtengenezea mtoto mazingira bora ya ustawi wake hadi huyo mtoto atakapoamua mwenyewe kuanza kujitegemea.Kazi ya mzazi wako sio kukutafutia mali na sio jukumu la mzazi kukupeleka kwenye mafanikio ambayo ni jukumu lako wewe mwenyewe na ndio maana alikuhudumia tangu utoto hadi umejifaham.
Umeongea KITU kizito sana ni wazazi wachache sana wenye fikra, ebwana Mimi mwanangu hata akiwa na Miaka 70 au 80 sitoacha kumsupport kwa hali na Mali km Mtoto sio km mtu mzima au Mzee mwenzangu,Ni jukumu la mzazi kumtengenezea mtoto mazingira bora ya ustawi wake hadi huyo mtoto atakapoamua mwenyewe kuanza kujitegemea.
Wewe wakati unamzaa mliingia makubaliano na mtoto kwamba aje aishi kwa hali yoyote?
Kama huna uwezo wa kumhudumia hata akiwa mkubwa kiasi gani acha usimzae maana usimzae mtoto akaja kuteseka duniani bora umwache huko huko pasipo na purukushani.
Mkuu....Ulivyosema ni sawa kama na sisi wazazi hatutahitajika kutunzwa na kuhudumiwa na watoto wetu
Mkuu....
Sio lazima kwa mtoto kumhudumia mzazi wake kwani wakati huo nayeye atakua na familia yake.
Lakini ni hiyari kwa mtoto kumhudumia mzazi wake.
Lakini ukweli mchungu nikwamba, mzazi ambae hawezi kujiandalia maisha yake ya uzeeni wakati anaingiza kipato na anayo afya njema pia... huyo mzazi ni kimeo grade one aiseeee.....
Acha kuwatisha wanao,Kwanza sio lazima niwasalimie maana nitapoteza muda tu...🤨
Ipo hivi.
Jukumu la mzazi wako ni kuhakikisha unakua na afya njema, unapata malazi na mavazi mazuri na kisha unapata elimu na maarifa ili ukawe mtu mbele za watu duniani.
Kazi ya mzazi wako sio kukutafutia mali na sio jukumu la mzazi kukupeleka kwenye mafanikio ambayo ni jukumu lako wewe mwenyewe na ndio maana alikuhudumia tangu utoto hadi umejifaham.
Lakini kwa fikra zako hizi wewe kijana, ipo siku utaiba then utawaachia wazazi wako msala kwamba wakafungwe jela badala yako kwasababu wao ndio walikuzaa..😂
Anywas,
Mimi hua nawaambia wanangu kwamba, mkimuona mwizi anauwawa tambueni huyo anawazazi wake na wakati wanamzaa hawakupanga mtoto wao aje kuwa mwizi.🤨
I'm done...☹️