Ngoja niwasaidie mpate partners kirahisi

Ngoja niwasaidie mpate partners kirahisi

Yani jamii forums ina watu zaidi ya 500000 unakosaje hata wa kukudanganya danganya.

Sasa we andika comment yako halafu atakayelike mfwate inbox anzeni kuwasiliana hadi pale mtakapofikia. Hata waki like 10 utachuja mbele kwa mbele makapi na ngano.

Msisahau kuleta mrejesho hapa matokeo ya hii fellowship...

mzabzab swahiba wangu wa ukweliii changamka upate mke uoe nipikiwe pilau mimi WiFi mwenye mdomo wake mjini.

Unique Flower kiboko ya vibabu changamka figa moja haliinjiki chungu ujue.

Me niko pale nawazoom.
Ngoja niingie TRA nikakadiriwe.
Dada ndo kusema umechoka kutuona single 😀😀😀
 
Yani jamii forums ina watu zaidi ya 500000 unakosaje hata wa kukudanganya danganya.

Sasa we andika comment yako halafu atakayelike mfwate inbox anzeni kuwasiliana hadi pale mtakapofikia. Hata waki like 10 utachuja mbele kwa mbele makapi na ngano. Vigezo na masharti mtazingatia.

Msisahau kuleta mrejesho hapa matokeo ya hii fellowship...

mzabzab swahiba wangu wa ukweliii changamka upate mke uoe nipikiwe pilau mimi WiFi mwenye mdomo wake mjini.

Unique Flower kiboko ya vibabu changamka figa moja haliinjiki chungu ujue.

Me niko pale nawazoom.
Ngoja niingie TRA nikakadiriwe.
Tunaowapenda wamefunga PM zao mfano Antonnia
 
Back
Top Bottom