Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Katoto tunakaita jf junior๐๐We like wote tu
Kwan sh ngapii
Ntafurahi siku mnaleta mrejesho hapa kwamba kuna ndoa zilifungwa....kuna katoto kalizaliwa na kuna watu mlikulana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katoto tunakaita jf junior๐๐We like wote tu
Kwan sh ngapii
Ntafurahi siku mnaleta mrejesho hapa kwamba kuna ndoa zilifungwa....kuna katoto kalizaliwa na kuna watu mlikulana
Nawe! rupia haiwezi ingia bank wakati Teller amefunga DirishaPenye uzia penyeza rupia
Muhimu tunakata mrejesho๐๐๐Dunia imeharibika unaweza kushangaa ka like mwanaume mwenzako
Nakuja hivyohivyo hata kama hujalikeTulia wewee
Poa Bora sikuwahi kushiriki kampeni ya kukataa ndoa nilijua tu nikishiriki iko siku naweza kukosa fursa Kama hiziUnamchuja unatupa kuleeee
Alafu ramadhani Iko njiani tukapikiane uji wa pilipili manga๐๐๐๐๐๐๐๐
Nitashiriki kukapelekea diaper kabisaaa