Ngoja niwasaidie mpate partners kirahisi

Ngoja niwasaidie mpate partners kirahisi

Akilike jinsia moja inakuwaje? maana kuna majamaa humu kama Mkwepu Jr yenyewe hua ni kulike tu?
 
Ila sasa huu uzi hakuna mtu atalike comment ya mtu[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa kweli huu ni mtego Sana,Watu wanaogopana.

Kuna mtu namsubiri alike Kisha nizame pm. We mtu mwenye avatar ya hijab si ulike basi hii comment alafu tukamalizane huko chemba!?
 
Yani jamii forums ina watu zaidi ya 500000 unakosaje hata wa kukudanganya danganya.

Sasa we andika comment yako halafu atakayelike mfwate inbox anzeni kuwasiliana hadi pale mtakapofikia. Hata waki like 10 utachuja mbele kwa mbele makapi na ngano. Vigezo na masharti mtazingatia.

Msisahau kuleta mrejesho hapa matokeo ya hii fellowship...

mzabzab swahiba wangu wa ukweliii changamka upate mke uoe nipikiwe pilau mimi WiFi mwenye mdomo wake mjini.

Unique Flower kiboko ya vibabu changamka figa moja haliinjiki chungu ujue.

Me niko pale nawazoom.
Ngoja niingie TRA nikakadiriwe.

Fellowship 🤣🤣🤣


Kila la kheri katika kupata partners wapendwaa!!
 
Back
Top Bottom