Ngoja niwasaidie mpate partners kirahisi

Ngoja niwasaidie mpate partners kirahisi

Yani jamii forums ina watu zaidi ya 500000 unakosaje hata wa kukudanganya danganya.

Sasa we andika comment yako halafu atakayelike mfwate inbox anzeni kuwasiliana hadi pale mtakapofikia. Hata waki like 10 utachuja mbele kwa mbele makapi na ngano. Vigezo na masharti mtazingatia.

Msisahau kuleta mrejesho hapa matokeo ya hii fellowship...

mzabzab swahiba wangu wa ukweliii changamka upate mke uoe nipikiwe pilau mimi WiFi mwenye mdomo wake mjini.

Unique Flower kiboko ya vibabu changamka figa moja haliinjiki chungu ujue.

Me niko pale nawazoom.
Ngoja niingie TRA nikakadiriwe.
Asante kwa kutufungulia dunia tuwe tunachotaka [emoji3]
 
Nimeianza kazi yangu ya kusambaza like za upendo.....
 
Ukilike comment angu hakikisha unanipm jina lako na la mama mengine nitajua cha kufanya ili unipende [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Back
Top Bottom