Ngoja niwasaidie mpate partners kirahisi

We bila uzinzi ungezaliwaa??
Dah kuna watu Wanafiki hapa duniani. Sasa Uzinzi uko wapi hapa?
Tabia za huyo Mshikaji ni sawa na Mtu mwenye makovu na upele mwili mzima akivaa suti akitoka nje watu wanamuona kapendeza kumbe akirudi ndani akiivua ile suti makovu na vipele vipo palepale. 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Achana nae hana swaga atampenda nani?
 
Akili nyingi sana na Ubongo uwe una chaji kama Albert Eintein kabisa
Naonaga anavyowapeleka mchaka mchaka hapa kama vile mtu mrahisi sana.
Halafu mifala inajaa pm ziiiiiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Najua hawana hamu naye
 
Naonaga anavyowapeleka mchaka mchaka hapa kama vile mtu mrahisi sana.
Halafu mifala inajaa pm ziiiiiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Najua hawana hamu naye
Hahahahhahaa Mimi nampendaga sana aisee πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Naonaga anavyowapeleka mchaka mchaka hapa kama vile mtu mrahisi sana.
Halafu mifala inajaa pm ziiiiiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Najua hawana hamu naye
Hahahaha
Kweli wananiona njaa kali flan
Huenda kweli nna njaa ila sio kama zao
 
Hahahahhahaa Mimi nampendaga sana aisee πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Wanawake akili kubwa ni burudani sana hasa ukiweza kumhandle🀣🀣🀣
Na ujipange kwa chalenji zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…