Ngoja niwasaidie mpate partners kirahisi

We bila uzinzi ungezaliwaa??
Dah kuna watu Wanafiki hapa duniani. Sasa Uzinzi uko wapi hapa?
Tabia za huyo Mshikaji ni sawa na Mtu mwenye makovu na upele mwili mzima akivaa suti akitoka nje watu wanamuona kapendeza kumbe akirudi ndani akiivua ile suti makovu na vipele vipo palepale. 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Achana nae hana swaga atampenda nani?
 
Akili nyingi sana na Ubongo uwe una chaji kama Albert Eintein kabisa
Naonaga anavyowapeleka mchaka mchaka hapa kama vile mtu mrahisi sana.
Halafu mifala inajaa pm ziiiiii😂😂😂😂
Najua hawana hamu naye
 
Hahahahhahaa Mimi nampendaga sana aisee 😅😅😅😅
 
Naonaga anavyowapeleka mchaka mchaka hapa kama vile mtu mrahisi sana.
Halafu mifala inajaa pm ziiiiii😂😂😂😂
Najua hawana hamu naye
Hahahaha
Kweli wananiona njaa kali flan
Huenda kweli nna njaa ila sio kama zao
 
Back
Top Bottom