Ngoja niwasaidie mpate partners kirahisi

Na ndio Mimi nakazia hapa a stand as a Man, Sio kama Mvulana maana atafeli mpaka atajidharau mwenyewe, Hakuna Mwanamke ambaye ni intellectual anataka Man mwenye akili za Kivulana
Well said...

A man is a leader, wanawake tunapenda kuongozwa na tunafeel very safe tukiwa na mwanaume anayejiamini na anayeplay part yake vema.
Other factors remain constant...πŸ˜›
 
Kuongeza michepuko inaruhusiwa....?
 
Mdogowako mm mfupi kama ujuavyo small peopleπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Neuro mdogowangu vijana wanatka kujitafutia matatizo nq presha ndogondogo hebu njoo wape tahadhari
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mwanaume gani uyo anayeangalia ufupi kupata mwanamke. Atakosa vizuri kwakweliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ maana wanawake wafupi na changamoto zao watakufanya ujione wewe kidume kama ukiweza kummudu. Tena kwa dada yangu sophy27 ujue huyo mwanaume anaipata peponi akiwa duniani. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jaman wadasa basi m.like na hapa niwafate inbox tuyajenge
 
Wacha wee Unawajaza upepo kumbe hamna kitu πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…