Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 6,432
- 25,646
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ni dume....hatarisophy27 ni mwanaume wakuu,Mara ngapi niseme hili? Mzabizabi kuwa mpole kabisa kwa sophy.
Hilo ni jina tu Kama ilivyo kwa Joyce Romalosa wa Yanga.
Hilo Ni jina tu Kama la Joyce Romalisa wa Yanga. Usibabaike hata.
Itajulikana mbele kwa mbele.Hilo Ni jina tu Kama la Joyce Romalisa wa Yanga. Usibabaike hata.
Tatizo huyo sophy27 kila mtu anamtaka yeye. Alafu kwenye wengi hapo Mimi Domo zege natoboaje Unadhani? Bila kufanya hivi hapa siendi mjini, famchezo nini!?
Chakorii siyo crush wangu,ni sistaangu kabisa huyo.We nae una crush wangapi?
Yani jamii forums ina watu zaidi ya 500000 unakosaje hata wa kukudanganya danganya.
Sasa we andika comment yako halafu atakayelike mfwate inbox anzeni kuwasiliana hadi pale mtakapofikia. Hata waki like 10 utachuja mbele kwa mbele makapi na ngano. Vigezo na masharti mtazingatia.
Msisahau kuleta mrejesho hapa matokeo ya hii fellowship...
mzabzab swahiba wangu wa ukweliii changamka upate mke uoe nipikiwe pilau mimi WiFi mwenye mdomo wake mjini.
Unique Flower kiboko ya vibabu changamka figa moja haliinjiki chungu ujue.
Me niko pale nawazoom.
Ngoja niingie TRA nikakadiriwe.
Mtajee tutakwambia kama ni me au keNilikuwa napita kimya kimya..... tatizo la humu watu wana majina ya kike kumbe ni men unaweza jikuta unaangukia kwa gasho apo ndo kizaa zaa kilipo...!!!! Kuna kazi naielewa humu ila siku moja nitajikaza ngoja nione like kama itakuja kutoka kwa huyu mrembo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daah [emoji27]
Na mapapai yanavoongezeka nowdays ,kaeni vizuri mnapata competition unakuta mke mwenzio ni punga daah....!
Mgeni wapii karibu ukae kitako me ntakuwa mwenyeji wako
Iblis Bin Shetan hebu mpatie kiti huyu Joline Kato . Na wewe Manyanza muoneshe mazingira mwenzio