Ngolo Kante hatarini kufirisika,ameoa shangazi wa kizungu mwenye miaka 47

Mkuu umeileta hii habari kana kwamba kuna kesi ya madai ya talaka mahakamani....umeandika kana kwamba kuna mgogoro wa ndoa kati yao hali ya kuwa ni shwari.....

Lakini pia ubaya hauna kabila au rangi kwani hayo matukio yanaweza kufanywa hata ukioa mweusi mwenzio.....ni suala tu moyo wa mtu......

Lakini pia mambo ya watu wawili ndani ni Siri Yao......tusipende kuona mambo na kuhukumu moja kwa moja,.....
 
Unamuonea huruma Ngolo Kante?
 
Hawakomi tu hawa wajinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…