Ngolo Kante hatarini kufirisika,ameoa shangazi wa kizungu mwenye miaka 47

Ila huyu muarabu mbona kama mikono mweusi🤗🙄🙄uso na mikono rangi mbona ni kama kidonge cha rangi mbili😀😀😀
Gloves alivaa,ila full pictures ni hii.
images (96).jpeg
 
Mkuu umeileta hii habari kana kwamba kuna kesi ya madai ya talaka mahakamani....umeandika kana kwamba kuna mgogoro wa ndoa kati yao hali ya kuwa ni shwari.....

Lakini pia ubaya hauna kabila au rangi kwani hayo matukio yanaweza kufanywa hata ukioa mweusi mwenzio.....ni suala tu moyo wa mtu......

Lakini pia mambo ya watu wawili ndani ni Siri Yao......tusipende kuona mambo na kuhukumu moja kwa moja,.....
Unaweza kuniona mi mswahili lakini kule England na France vyombo vya habari vimeripoti hii ndoa kwa kuhofia hatma ya Ngolo Kante,wazungu ni wambeya sana kuliko sisi wanajua CV ya huyo shangazi,just to warn him ,siombaya kupeana tahadhari,Ngolo anaonekana ni mtu poa sana sasa akifirisiwa na hilo lishangazi itaumiza wengi
 
Waafrica wote akili zetu zinafanana,

Ustaadhi Ngolo Kante amevamia mtumbwi wa vibwengo kwa kuoa lishangaji Jude Littler lenye watoto watatu na umri wa miaka 47.

Historia ya shangazi huyo huko nyuma sio nzuri Djibril Cisse aliwahi kuwa nae huko nyuma aliambulia kupigwana kitu kizito.

Pesa zote za waarabu huenda zikaporwa kibabe kupitia divorce mwishoni mwa career ya Ngolo Kante.

Kabla ya ndoa hii Ngolo Kante alikuwa akiheshimika sana na wachezaji wenzake na wadau wengi wa mpira, weusi kwa wazungu lakini inasemekana sasa wamemdharau sana.

Labda atumie akili ya yule mwamba Hakim ya kuandika mali zote jwa jina la mama yake .

Yote juu ya yote pesa ni zake na hatujui anachopewa na lishangazi
Hayo sii muhimu hapa kwetu kwa sasa,ingekuwa tumeshapatiwa majibu yetu tungesikiliza na hizi hoja nyingine ambazo tungeweza zipa muda wa kutosha bila kuchelewa chochote.
 
Waafrica wote akili zetu zinafanana,

Ustaadhi Ngolo Kante amevamia mtumbwi wa vibwengo kwa kuoa lishangaji Jude Littler lenye watoto watatu na umri wa miaka 47.

Historia ya shangazi huyo huko nyuma sio nzuri Djibril Cisse aliwahi kuwa nae huko nyuma aliambulia kupigwana kitu kizito.

Pesa zote za waarabu huenda zikaporwa kibabe kupitia divorce mwishoni mwa career ya Ngolo Kante.

Kabla ya ndoa hii Ngolo Kante alikuwa akiheshimika sana na wachezaji wenzake na wadau wengi wa mpira, weusi kwa wazungu lakini inasemekana sasa wamemdharau sana.

Labda atumie akili ya yule mwamba Hakim ya kuandika mali zote jwa jina la mama yake .

Yote juu ya yote pesa ni zake na hatujui anachopewa na lishangazi
Itakua kante kapewa anal, sio bure aiseee
 
Kaamua mwenyewe, hata akifilisika, kivyake.

Ulitaka kuolewa wewe?
 
Back
Top Bottom