Uongozi wa Simba kama upo imara na unajua inachokifanya, basi moja kati ya haya mawili yafanyike;
Kisa nn?Pin ๐ ๐ wenu kadundwa nenda Aghakan umjulie hali
Mbumbumbu watamlaumu CamaraUongozi wa Simba kama upo imara na unajua inachokifanya, basi moja kati ya haya mawili yafanyike;
Mosi, uongozi umtake Ngoma amuombe msamaha Camara na Wana Simba kwa ujumla wetu.
Pili, uongozi UMFUKUZE Ngoma kwa kuvunja mkataba wake na kumwacha atimkie timu nyengine kama vile Yanga.
Wakishindwa kufanya moja wapo, basi Ubingwa wa Afrika hadi marefa wawe wanawafungia magoli!
Mkuu.. kwenye ule uzi wa movies kujna jamaa alirecomend kitu inaitwa the ORPHAN.. Aishi miaka mingi sana aisee๐๐๐๐๐makolo wamechanganyikiwa
Taarifa ni ya kweli ila hapo kwenye kung'oa meno ndio utataChai ya chumvi
Kwa asiyejua mpira sawa. Ila kwa mimi, Camara ni best of the best!Mbumbumbu watamlaumu Camara
Huyu alishawahi kulaumiwa na Magori kuwa aliiuza mechi na Yanga ,itakua wanarudia tu hizo lawama hao mbumbumbuMbumbumbu watamlaumu Camara
Ni mbumbumbu kweli kwani uongoNdio maana tunaitwa MBUMBUMBU
Hauko serious wee. MxxxiiiiieeeewWaligombania mademu
Bifu nje ya uwanja
Kuna hadi Video,bado mnaamini ni chai ?Chai
Binadamu huwa ana sanaa nyingi sana. Ukute hao jamaa ndio wamekula hela ya Berkane halafu wanagombana ili kuzugaDaaas labda mmoja alibeba ndumba akakosea........
Shit hole countries nyenyenye kila kichapo kikitokea ila dunia ya kwanza hakuna kabisa upuuzi kama huu.Ila camara boya tu ugenini aligawa goli kilofa kabisa acha anyukwe
Sorry mfariji ninae na natamba nae.Njoo mrembo nikufariji usije ukajiua usiku mrefu huu kwako