Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,453
- 111,795
Anayejuwa kesho hii mechi inaoneshwa marudio na Azam saa ngapi anijuze nataka kuingalia kwa makini bila pressure wala mihemko.
Sema jamaa anapiga pasi sana, anapeleka sana mpira mbele anaijia chini anapanda, good playerMpira mchezo wa makosa
Mbona Ngoma anafanya makosa Kibao, hakabi Kwa kasi na nguvu
Mchezaji yupo slow kama konokono
Nae anyukweMpira mchezo wa makosa
Mbona Ngoma anafanya makosa Kibao, hakabi Kwa kasi na nguvu
Mchezaji yupo slow kama konokono
Ipo inarudiwa muda huuAnayejuwa kesho hii mechi inaoneshwa marudio na Azam saa ngapi anijuze nataka kuingalia kwa makini bila pressure wala mihemko.
Dakika ya ngapi hapo?Ipo inarudiwa muda huu
Kupigana kazini ni kosa kisheria ambalo linaweza kukufukuzisha kazi.Ngoma ameoneka akimpiga Kwa kumshutukiza Goal keeper Camara
Ngoma ameleta masifa, kumfokea mchezaji mwenzake mbele ya mashabiki wakati hayo mambo wangeyaongea chumbani muda wa mapumziko
Ngoma sio coach wa captain wa timu, kwanini ajipe mamlaka ya kukoromea wenzake
Taarifa nilizozipata ni kuwa Camara amepata jeraha kubwa kwenye mkono wa Kushoto na mgongoni
Pia Camara meno mawili ya mbele yameng'oka
Zaidi tusubiri taarifa za kitabibu
Tukikupa bukta na jezi utaweza kukaba kwa nguvu?Mpira mchezo wa makosa
Mbona Ngoma anafanya makosa Kibao, hakabi Kwa kasi na nguvu
Mchezaji yupo slow kama konokono
Wauane pumbavu zaoNgoma ameoneka akimpiga Kwa kumshutukiza Goal keeper Camara
Ngoma ameleta masifa, kumfokea mchezaji mwenzake mbele ya mashabiki wakati hayo mambo wangeyaongea chumbani muda wa mapumziko
Ngoma sio coach wa captain wa timu, kwanini ajipe mamlaka ya kukoromea wenzake
Taarifa nilizozipata ni kuwa Camara amepata jeraha kubwa kwenye mkono wa Kushoto na mgongoni
Pia Camara meno mawili ya mbele yameng'oka
Zaidi tusubiri taarifa za kitabibu
Tumshukuru MamaNgoma ameoneka akimpiga Kwa kumshutukiza Goal keeper Camara
Ngoma ameleta masifa, kumfokea mchezaji mwenzake mbele ya mashabiki wakati hayo mambo wangeyaongea chumbani muda wa mapumziko
Ngoma sio coach wa captain wa timu, kwanini ajipe mamlaka ya kukoromea wenzake
Taarifa nilizozipata ni kuwa Camara amepata jeraha kubwa kwenye mkono wa Kushoto na mgongoni
Pia Camara meno mawili ya mbele yameng'oka
Zaidi tusubiri taarifa za kitabibu
Wewe una kasi?Mpira mchezo wa makosa
Mbona Ngoma anafanya makosa Kibao, hakabi Kwa kasi na nguvu
Mchezaji yupo slow kama konokono
Afadhali na wewe umemuuliza hilo swaliTukikupa bukta na jezi utaweza kukaba kwa nguvu?
WAFU MZIKE WAFU WENU PLSNgoma ameoneka akimpiga Kwa kumshutukiza Goal keeper Camara
Ngoma ameleta masifa, kumfokea mchezaji mwenzake mbele ya mashabiki wakati hayo mambo wangeyaongea chumbani muda wa mapumziko
Ngoma sio coach wa captain wa timu, kwanini ajipe mamlaka ya kukoromea wenzake
Taarifa nilizozipata ni kuwa Camara amepata jeraha kubwa kwenye mkono wa Kushoto na mgongoni
Pia Camara meno mawili ya mbele yameng'oka
Zaidi tusubiri taarifa za kitabibu
Na mshenziiiMleta mada ni muongo na mnafiki.
MKUUNgoma ameoneka akimpiga Kwa kumshutukiza Goal keeper Camara