Ngoma agombana na Pin Pin Camara wakati wa mapumziko

Ngoma agombana na Pin Pin Camara wakati wa mapumziko

KUNA MECHI YANGA NA AZAM

DOGO WETU KULE AZAM HAKUWA CAPTAIN

ALICHOFANYA AKIWA KARIBU NA BENCHI AKACHUKUA MKONO AKAUWEKA UPANDE WA KUSHOTO

KULIA AKAMWAMBIA KOCHA MSAIDIZI TOA YULE INGIZA FLAN KULE KUNAPITIKA

MKUU HAKUMFWATA CAPT

DK 5 AKATOLEWA WINGA ULE UPANDE AKAINGIXWA DOGO ALIEIFUNGA SIMBA

KUINGIA AKAPIGA MAKOROSS FT 2-1

ILE MECHI NILIBANA PUNBU DK 90 NAMTUKANA FAISAL MPAKA FILIMBI IKAPIGWA IMEISHA ACHA TU
 
Sio kila kitu capt aseme
Vingine una exp unatoa USHAURI
shoda dogo amewezeshwa akajiona

Kule golini kama NDIE Mungu WA Simba

Tunamsubirii CRDB MWAMBIEN AJE NA KISU KABISA MAANA WATACHAPANA VYA KUTOSHA
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Makelele SC.
5. Malalamiko/Lia lia SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau/Mapaka SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mwakarobo SC.
11. Mbeleko/Bebwa bebwa SC.
12. Manguruwe SC.
13. Miso Misonda SC.
14. Mikia SC.
15. Mbuzi SC.
16. Zuwena SC.
17. Khamsa Khamsa/5imba SC.
18. Kufa Kiume SC.
19. Kikanuni SC.
20. Bahasha SC.
21. Ngada SC.
22. Kolowizards SC.
23. Kamdomo SC.
Screenshot_2025-05-18-12-05-22-14_73617a28b0d3e7e6a04848a88f233e6b.jpg
 
Kuna mpira mmoja camara alileta usenge, ulikuwa ni wa kudaka, lakini alienda akijua mchezaji wa upinzani ataruka kichwa atamusa iwe faulo, matokeo yake hakuguswa na mpira ukamgonga ikawa kona, kona ambayo simba alikoswa koswa, camara alisave kwenye mstari.
 
Ngoma ameoneka akimpiga Kwa kumshutukiza Goal keeper Camara

Ngoma ameleta masifa, kumfokea mchezaji mwenzake mbele ya mashabiki wakati hayo mambo wangeyaongea chumbani muda wa mapumziko

Ngoma sio coach wa captain wa timu, kwanini ajipe mamlaka ya kukoromea wenzake

Taarifa nilizozipata ni kuwa Camara amepata jeraha kubwa kwenye mkono wa Kushoto na mgongoni

Pia Camara meno mawili ya mbele yameng'oka

Zaidi tusubiri taarifa za kitabibu
Ngoma huwa anajiona Viera.
 
😂😂😂mechi zilizojaa ulozi na ndumba lazima wenyewe kwa wenyewe wapasuane!. Tuliocheza mpira na ndondo tunajua madhara ya ndumba zikifeli.
 
Ngoma ameoneka akimpiga Kwa kumshutukiza Goal keeper Camara

Ngoma ameleta masifa, kumfokea mchezaji mwenzake mbele ya mashabiki wakati hayo mambo wangeyaongea chumbani muda wa mapumziko

Ngoma sio coach wa captain wa timu, kwanini ajipe mamlaka ya kukoromea wenzake

Taarifa nilizozipata ni kuwa Camara amepata jeraha kubwa kwenye mkono wa Kushoto na mgongoni

Pia Camara meno mawili ya mbele yameng'oka

Zaidi tusubiri taarifa za kitabibu
sasa lawama tuzieleezee kwa ngoma,camara au tubaki kulia na refa!
 
Back
Top Bottom