Ngoma agombana na Pin Pin Camara wakati wa mapumziko

Anayejuwa kesho hii mechi inaoneshwa marudio na Azam saa ngapi anijuze nataka kuingalia kwa makini bila pressure wala mihemko.
 
Kupigana kazini ni kosa kisheria ambalo linaweza kukufukuzisha kazi.
 
Kwanini hizo nguvu hakuzifanyia uwanjani akafunga magoli mengi?
 
Wauane pumbavu zao
 
Tumshukuru Mama
Pongezi nyingi kwake
 
WAFU MZIKE WAFU WENU PLS
HAYATUHUSU
SISI TUNAJUA KOMBE LIMEDHAPANDA NDEGE KWENDA MOROCO MDA HUU
 
TUONYESHE HIO NGUMI MKUU

EMBU TUACHE TUMALIZIE POMBE ZETU TUKALALE

KAMA UNA KIU NJOO SMART HAPA BANANA KABLA YA SAA TISA
 

Attachments

  • VID-20250525-WA0080.mp4
    5.6 MB
MKUU
NIKUSAIDIE NGOMA HIZI ROBO
FINAL AMEZICHEZA ABAHATISHI KUMSAHIHISHA YULE PIMBI

MM N YANGA UNGESE KAMA ULE UKO KWENYE KONA U ARUDISHA MPIRA NDANI ALAFU KARIBU NA GOLI HATA YULE SHOGA ALIEIKIMBIA YANGA ASINGEFANYA ULE UPUUZI

ALIKUWA ANAMWELEZA NA SIOO KUMPIGA ANGALIA VIDE VIZURI
 

Attachments

  • VID-20250525-WA0080.mp4
    5.6 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…