Angalizo: Rasta si Sehemu ya kichwa.Ikiwa yanga wanatusema watu wenye akil ni wawil tafuta wastani wa watu wenye akili simba tumia pai 22/7 na kipenyo cha kichwa chakila mchezaji ni (0.01simba)
Exactly 💯 😂 😁Mkuu.. kwenye ule uzi wa movies kujna jamaa alirecomend kitu inaitwa the ORPHAN.. Aishi miaka mingi sana aisee
Ngoma huwa anajiona Viera.Ngoma ameoneka akimpiga Kwa kumshutukiza Goal keeper Camara
Ngoma ameleta masifa, kumfokea mchezaji mwenzake mbele ya mashabiki wakati hayo mambo wangeyaongea chumbani muda wa mapumziko
Ngoma sio coach wa captain wa timu, kwanini ajipe mamlaka ya kukoromea wenzake
Taarifa nilizozipata ni kuwa Camara amepata jeraha kubwa kwenye mkono wa Kushoto na mgongoni
Pia Camara meno mawili ya mbele yameng'oka
Zaidi tusubiri taarifa za kitabibu
Ngoma pasi zake nyingi ni kwa kipa kama sio kiungo harafu anamlaumu mtu mwingine..Mpira mchezo wa makosa
Mbona Ngoma anafanya makosa Kibao, hakabi Kwa kasi na nguvu
Mchezaji yupo slow kama konokono
Mumfunge naniNa wakizubaa tunacheza ili tuwafunge vizuri
sasa lawama tuzieleezee kwa ngoma,camara au tubaki kulia na refa!Ngoma ameoneka akimpiga Kwa kumshutukiza Goal keeper Camara