Ngoma bado mbichi kabisa, Harmonize na feminist Gyumi wameandaa maandamano makubwa Wasafi HQ

Ngoma bado mbichi kabisa, Harmonize na feminist Gyumi wameandaa maandamano makubwa Wasafi HQ

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Wakati akiweka pini kituo cha polisi, msanii Harmonize amekataa kukubali yaishe kweli uchungu wa mwana aujuaye mzazi.

Harmonize akishirikiana na mwanadada mtetezi wa haki za wanawake na watoto Rebeka Gyumi wameanza kutuma jumbe za kuwaalika watu muhimu katika na wananchi kwa ujumla kushiriki maandamano makubwa nje ya ofisi ya Wasafi jijini Dar es salaam ambapo tarehe itatajwa mwishoni mwa wiki hii.

Nini maoni yako

Chanzo: HZW
 
Tunda likishaiva lapaswa kuliwa na sio kuachwa liharibike. Harmonize yeye kala matunda ya watu mara ngap? Atulie hivohivo tunda la mti wake liliwe na watoto wajanja😄😄😄
 
Harmonize kupiga jimama la mjini halafu atokee mtu ajipigie kitoto fresh toka shamba, imemchanganya sana.
JamiiForums-1285264001.jpg
 
I wish watu wangeeelewa hizi 'showbiz'
No drama tu but nothing personal
 
Mmakonde mwehu kabisa, anaweza akajikuta anapoteza mashabiki hivi hivi
Umeongea point ambayo wengi hawaisemi.

Harmo atapoteza mashabiki na ashanza kuwapoteza. Sijaangalia lkn nadhan insta follows zake zitaanza kushuka chini. Anasahau mashabiki wa wasafi ni watu aina gani.

A wise person chooses his battles carefully
 
As the matter of principle kufanya ngono na mtoto mdogo (A minor) ni kosa la ubakaji,
Lazima hili lisemwe na lipelekwe mahakamani ili uwe mfano kwa wengine hapa Tanzania.
Kesi kama hii ikiletwa kwangu mimi POSITIVIST huyo Rayvanny na Hamisa watachezea nyundo nyingi sana.
 
Kwa kuwa unaongea kwa utani sikulaumu
 
Back
Top Bottom