bhachu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 8,443
- 9,854
Wakati akiweka pini kituo cha polisi, msanii Harmonize amekataa kukubali yaishe kweli uchungu wa mwana aujuaye mzazi.
Harmonize akishirikiana na mwanadada mtetezi wa haki za wanawake na watoto Rebeka Gyumi wameanza kutuma jumbe za kuwaalika watu muhimu katika na wananchi kwa ujumla kushiriki maandamano makubwa nje ya ofisi ya Wasafi jijini Dar es salaam ambapo tarehe itatajwa mwishoni mwa wiki hii.
Nini maoni yako
Chanzo: HZW
Harmo mzee wa "yudebasti mai medulla" [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]